AshaDii: "JF Woman Of The Year 2011"

38.gif
 
Sina neno mie,

Hongera sana ADi (WoY, 2011)!!

Babu DC!!

HONGERA AD
Superman una haraka ya kuruka tuuuu......hebu weka hansard sawa hapokwenye blue ili tuwe na kumbukumbu mujjarab

Hongera WoY AshaDii, Kweli ulistahili.

Nigawie basi hata buku mbili aisee, elfu hamsini yote unakula pekee yako!?

Congratulations. You deserve it!



I am humbled.....:A S-rose:

Mubarikiwe saana.
 
Unapokuwa unapata mtu wa kukuheshimu sana hata hakufahamu,then
wewe ume barikiwa kweli kweli.

I respect AshaDii so much,simjui,Lakini trust me....kwenye key board (JF in general) ndipo panaonesha
mtu alivyo kwa uhalisia,.....why?kwa sababu UNAANDIKA KILICHO JAA NDANI YA MOYO WAKO.

You can fake it sometimes,but you'll certainly go back to the real you.
AshaDii is as real as she is,..............Much respect.



Maneno yako ni mazito na ya maana kubwa kwangu. Daima
will be grateful for in one way or another yameni inspire....

Pamoja Saana Speaker..... Pamoja saana.:grouphug:
 
Hongera sana mpendwa, jioni ya sa 1 kwa saa za afrika ya mashariki tutajumuika hapo home kwenu kusherehekea!

Again hongera sana!
 
Maneno yako ni mazito na ya maana kubwa kwangu. Daima
will be grateful for in one way or another yameni inspire....

Pamoja Saana Speaker..... Pamoja saana.:grouphug:

AshaDii, kwa hili niko siriaz sana. Pamoja na kukupa hongera, lakini ningependa nikupe zawadi binafsi ya kitu tangible... Please allow me...
 
Hongeara sana WoY Ashadii.

Ukifika hapa, nitakupa kipaja cha kuku. Unastahili kabisaaaaaaaaaaaa wala hujapendelewa.


Asante saana LD.... Ila mambo gani ya kutuwekea shombo
ya samaki na kutoa kikombe cha kahawa? lol

Nasubiri hilo paja....

Congratulation AshaDii, you deserve this.
I have to say that with your new tiara you should expand your interventions in JF and participate in other active jukwaaz like Siasa, international and economics which will benefit from your posts.
Wining against FaizaFoxy ni tuzo kubwa sana because she is also a woman of caracter who stands for what she believes in, for as long as she believes it is right. Bila shaka she deserves the second title
Hongera!!!

Mwali my mwali.... THANK U. Your advice is heeded, hua nilikua hivo mwanzo but the last four months kidogo ilikua hectic design... Will try my best dear to live up to the name.... Kama unavojua, I admire Faiza Foxy very Much and I am humbled to have won against her.
 
Kama kuna watu walinishawishi kujiunga na huu mtandao,wa kwanza ni Jamaa yangu hapa.
Wapili na watatu ni AshaDii na Lizzy,...niliwapa shukrani zangu siku ya kwanza tu kuingia.Mna tufundisha mengi jamani.
mbalikiwe sana.
 
Hongera sana AshaDii, kwa kweli wastahili,

Japo sikupiga kura kutokana na kutingwa na shughuli za hapa kibaruani kwangu, lakini mwanangu Cantalisia alikuwa anani-Up Date kwa Text akinijuza kila hatua ya upigaji kura.
 
images
my big sisy(WoY, 2011)!!

Nice Flowers.... Thank you Canta....

Hongera sana aunt wetu mpendwa. Ngoja nimtafute mwali tupange namna ya kusheherekea ushindi.

Saizi hapa nimenyosha miguu.... Nina vibinti vya kutosha ndani, leo sihangaiki kabisa....lol

Hongera sana AshaDii
You deserve

Hongera sana. WoY AshaDii. Unastahiki.

-Humbled-

Accept my offer of Internet bundle in ur inbox just pm me ur network.


Asante JB Wiser.... Ila samahani kama nitakukwaza.... Nina swali; Is there any catch? For before then me na wewe hatujawahi wasiliana kwa kweli, I don't believe kua I have had such an impact hadi wataka nipa zawadi.... Nikiridhia jibu, nakupa infor on the network... Again sorry if am out of line...
 
Hongera WOY ASHADII, unaonaje ukitumia nafasi ulonayo kuwaombea wanawake wenzio waliokula ban kwa mods?

Nina wasi wasi hata kama Mods watanielewa.... Ngoja baasi nijaribishe, Who do you have in mind?

Kunywa kwanza maji baridiiiii!

Kama umeniona kua I was thirsty....lol

Kwa ushindi huu nataraji yale madeni yetu tumesamehewa.
Hongera dadaake, mawigi yatakukomaje?


Mawigi kwa kweli sio shoga zangu kabisa! lol.... Kloro Deni liko pale pale... Labda lipa nusu ya pesa then we will sit down and talk!
 
Rangeho nasa....Zika rinzu mama mkwe!!

Plato hebu fafanua haraka kabla sijaweka Like!!! lol

Hongera sana mpendwa, jioni ya sa 1 kwa saa za afrika ya mashariki tutajumuika hapo home kwenu kusherehekea!

Again hongera sana!

Asante saaana Sweet Wifi.... Humbled kwa kweli, Hio sherehe nimewaachia iwe mkononi mwenu....

Hongera ADI 'The Brave One'
unastahili!

What a brand!! THANKS Kongosho...

AshaDii, kwa hili niko siriaz sana. Pamoja na kukupa hongera, lakini ningependa nikupe zawadi binafsi ya kitu tangible... Please allow me...

Tuko umenivimbisha kichwa hapa.... zawadi ipo in what form ili nikupe maelekezo? THANK U....lol
 
@ADI

kwa mamlaka niliyonayo kama bodi gadi
naamuru wadaiwa sugu woote, wataifishwe pesa hizi.
 
Back
Top Bottom