Asha Rose Mingiro na Ruge Mutahaba

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
834
151
Hivi kutakua na usalama kwa harakati za kukomboa wasanii ikiwa huyu mama ataingia madarakani? . Navyotambua huyu mama ana social life fulani na je uswahiba na kina Ruge haupo , ukizingatia Ruge anavyojua kujipendekeza.kwa mtizamo wangu kina Ruge watapeta kwa miaka 14 mingine ijayo.
 
Mbona unataka umshafue huyu Mama kwa kumgroup na hawa wacheza shoo? Huyu mama sidhani kama ana ukaribu na hawa jamaa!
Angalia usije tumika vibaya yakhe!
 
Mbona unataka umshafue huyu Mama kwa kumgroup na hawa wacheza shoo? Huyu mama sidhani kama ana ukaribu na hawa jamaa!
Angalia usije tumika vibaya yakhe!

Simchafui na sijawahi sikia kashfa yeyote kwa huyu mama , ila najiuliza hana ukaribu na hao wanao itwa wacheza show? , sababu wacheza show wako na ukaribu na kila mwenye nafasi ya maamuzi, nikiwa kama mdau wa burudani ninapenda kujua kama bado watapeta au ndio harakati zitatimiza .tusije sikia anafanyiwsa mapokezi makubwa na THT ndio watumbuizaji. Suala hili ni dogo sana kimtizamo nikubwa sana kwa future ya burudani ya musiki Tanzania
 
Mama Migiro kufanyiwa show na THT hiyo kitu rahisi sana, na kumbuka inaweza isiishie hapo kuna Clouds Fm Radio wanaweza kumwita kuongea naye pia kuna Clouds TV, nadhani hivyo vitu ni haki yao kama ambavyo ni haki ya chombo chochote cha habari au cha burudani, nimetaja hivyo vyombo vya habari nikiamini huwezi kuvitenganisha na Ruge, sasa basi, habari yote itarudi kwa Mama Asha Migiro mwenyewe kama ataamua kupendelea au kusaidia bila ya kufuata taratibu halali za nchi, nadhani hapo ndiyo tatizo linaweza kuwepo, ndugu yangu wala usihofu JF ipo watu wataona na watachambua kama wanavyochambuliwa wengine, Ila kama hata huyo Mama atafanya mchezo mchafu basi ujue hiyo itathibitisha kuwa mchawi wa Watanzania amekufa kabla ya Uhuru. Ni mawazo tu.
 
washasema rais hawezi kutoka kaskazini
mm pia wa kaskazini.
kwa hivo kina lowassa,sumaye dr slaa(najua hapa mtanikwida),dr rose nk hawaqualify kwa kigezo hicho
huo ni msemo wa magamba.
 
Hivi kutakua na usalama kwa harakati za kukomboa wasanii ikiwa huyu mama ataingia madarakani? . Navyotambua huyu mama ana social life fulani na je uswahiba na kina Ruge haupo , ukizingatia Ruge anavyojua kujipendekeza.kwa mtizamo wangu kina Ruge watapeta kwa miaka 14 mingine ijayo.

kwa hiyo mkuu unataka kutuambia mtajipendekeze kwa huyu waziri mkuu wa kwanza wa kike maana hawezi kuwa raisi kwa mtazamo wako...
 
Ruge ni nani? Nani kasema Asha Rose ataingia madarakani? Amevurunda United Nations amefukuzwa,she will soon join the ranks of the unemployed.
 
Walikuwepo kina mama wa Kiscandinanvia kule UN wamemkamia,wanataka aachie ngazi;wanatamba kazi zote anazofanya UN wao wanaweza kufanya,au hata zaidi ya yeye.
 
Habari nilizopata mama hajaboronga ila kaamua kupumzika ili kuendeleza ndoto zake mpya.Atakua NY kwa muda wa miezi sitakumsubiri mwanae amalize shule.
 
Akome kuja uku, asije akaendeleza yale maushuzi ya zamu ya jinsia nyingine. Mila nyingi za tz haziruhusu mwanamke kuwaongoza wanaume. Viva dk wa ukwel. Pipooo!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom