Asha rose migiro

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Bibi Asha Rose Migiro ndio chaguo no1 la wana ccm ktk kugombea urais 2015.
Kama ikitokea hivyo ccm'imepeta.
Maana tangu uhuru ni midume tuu,midume yenyewe yote mijizi,bora tujitoe muhanga kwa kuigeuza shillingi upande wa pili.
 
Nadhani Mh spika bado hujajua tatizo la uongozi katika nchi hii ndiyo maana unaweza kusema kama Migiro akigombea ccm itapeta. Usitarajie chochote kigeni katika kumchagua migiro unless anaondoka katika mfumo wa uongozi wa ccm. Nakuhakikishia hawezi kuleta mabadiliko yoyote katika nchi kwa sababu zifuatazo: -
1. Migiro amekuwepo katika serikali hii kwq muda mrefu na kwa fadhila alizofadhiliwa katika mfumo huu hawezi kuchuklua maamuzi yoyote magumu dhidi ya waliomtangulia.
2. Yeye ni sehemu ya matatizo ya uongozi wa nchi hii kwa hiyo usitarajie kitu chochote kipya kutoka kwake. Yeye anaweza kuwa msafi lakini wanaomzunguka na waliomtangulia je ni wasafi kama yeye?
3. Hana ujasiri wa kuweza kupambana na ufisadi kwa sababu mbili zilizotangulia.
 
alafu ni rahìsi kumpelekapeleka mwanamke ndo mana wanang'ang'ania mwanamke aongoze.afu baadae tutaongozwa na mapunga.dunia ìmeìsha.Mungu hakushusha nabiì wa kike alikuwa na maana kubwa sana.
 
haa haa haa haa haa.
Kaazi kweli kweli,sasa midume yote imekua mijizi,nani atatuongaza sasa.
Basi kama vp ka nchi kauzwe kila mtu apewe chake then asepe.
 
duh,hi nayo kali,sasa mh spika ka nchi kakiuzwa wewe ukipewa chako utaenda kuishi wapi?
 
Ni msafi ndio ila ni legelege sana . Nataka rais ambaye ana asili ya udikteta kiaina .
 
mh spika huyu mama anafaa sana,ni simba mwenda pole.naamini atafanya kweli,na ccm isipomsimamisha itakua imejikaanga kwa mafuta yake.hakuna ndume ya ccm inayoweza kushindana na michadema hapa.every thing kichwa cha mwendawazimu,we si unaona hata faifa starts ni kichefuchefu kitupu?lakini twiga stars walipojaribu tuu waleeeeeeeeeeeee!
 
Nadhani Mh spika bado hujajua tatizo la uongozi katika nchi hii ndiyo maana unaweza kusema kama Migiro akigombea ccm itapeta. Usitarajie chochote kigeni katika kumchagua migiro unless anaondoka katika mfumo wa uongozi wa ccm. Nakuhakikishia hawezi kuleta mabadiliko yoyote katika nchi kwa sababu zifuatazo: -
1. Migiro amekuwepo katika serikali hii kwq muda mrefu na kwa fadhila alizofadhiliwa katika mfumo huu hawezi kuchuklua maamuzi yoyote magumu dhidi ya waliomtangulia.
2. Yeye ni sehemu ya matatizo ya uongozi wa nchi hii kwa hiyo usitarajie kitu chochote kipya kutoka kwake. Yeye anaweza kuwa msafi lakini wanaomzunguka na waliomtangulia je ni wasafi kama yeye?
3. Hana ujasiri wa kuweza kupambana na ufisadi kwa sababu mbili zilizotangulia.

Hata baba mwanaasha wakati anaingia kugombea urais mulisema hivyo hivyo na kumpa misifa kibao leo amefanya nini?tatizo hata aingie nani akishakua ni ccm hawezi fanya lolote jipiya zaidi atatupeleka pabaya zaidi yahapa tulipo.kama munakumbuka kikwete alijigamba oh mimi nikiingia ikulu kazi yakwanza nitavunja mikataba yote mibovu ya ubinafsishaji. Niupi aliouvunja?acheni kujidanganya hata dr slaa akihamia ccm kura yangu halambi?
 
Migiro ndiyo walewale, miaka mingapi amekuwa kwenye uongozi kwenye nchii hii., mwangalie mwenzake makinda anavyo pwaya kuongoza bunge.
 
ameiongoza dunia,sasa sembuse ka-tz kenu?mpeni bwana
mheshimiwa kiongozi wa nchi hupimwa kwa vigezo kadha wa kadha...huyu mama si alishakua waziri hapa tz kwa muda mrefu tu ni kitu gani alichowafanyia watanzania ambacho ni dhahiri?...
 
Back
Top Bottom