Asha Rose Migiro vipi?

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
1,005
Tetesi zilikuwa nyingi sana kuhusu Asha Rose kupewa uwaziri kulikoni mbona kimya hatujamuona jamani?
 
Nenda pale geto ikulu waulize wajedda mlangoni watakujibu fasah!
 
Mizengwe Pinda kamshikia nafasi yake atapewa uwaziri Mkuu wakati wa Bunge la Budget
 
Back
Top Bottom