Elections 2010 Asha Rose Migiro for President 2010

Lakini mkuu, mbona kama kweli kulikuwa na nchi hazikufurahi na uteuzi wa Asha Rose Migiro?? Hebu nielimishe kidogo

- Nigeria, South Africa, na Kenya mpaka leo wako very bitter na uchaguzi wa Asha-Rose, wanajaribu kila njia kumchafua na baadhi ya mamluki wenzetu wabongo nao pia, inasikitisha sana.

FMES!
 
- Hizi dataz zako hazina ukweli wowote, Mama Miigiro na Baki-moon ni damu damu sana, haendi kokote yupo UN mpaka katibu wake atakapotoka, wabongo UN walidhani kwamba kwa sababu mbongo ameingia basi watapanda vyeo na kutesa kama vile siasa za bongo,

- Kumbe huko UN kuna miongozo ya sheria sasa ndio wamebaki kumzushia maneno ya uongo kila kukicha aibuu, inatia kichefu chefu sana kwa tunaoujua ukweli na tunaowajua wanaozusha haya maneno ya uongo na majungu! Mimi ninayo mpaka barua ya majungu aliyoiandika mtu mmoja huko UN na kunipa niiweke kwenye mitandao ili kumchafua huyu mama, wabongo bwana hata nje bado roho za kimasikini tu!

Respect.

FMEs!

Sasa kama yeye anasurvive kwa sababu ni damu damu na
moon yeye anashindwaje kuwa damu damu na watanzania wenzake? Mimi nilidhani utasema kuwa yuko pale kwa sababu ya competence zake kumbe ni ushikaji mtake radhi!

Lakini mkuu nakuaminia kwa kuwa karibu na viongozi habu nipe siri ya kuwa karibu nao( mimi nataka mafisdadi hasa)
 
Naona wadau wengi wametoka nje ya mada, ambapo imegeuzwa na kuwa kukubalika au kutokubalika kwa Migiro huko UN ; jambo ambalo may be linahitaji new thread!! In short, jambo la Migiro kuwa Mgombea Mwenza hapo 2010 haliwezekani, kama alivyosema mdau mmoja kwamba katiba hairuhusu( Rais na makamu watoke pande mbili za muungano). Isitoshe, Migiro mwenyewe hana exceptional qualities za kuwafanya watu washawishike kubadili katiba (kwa maslahiya taifa)! Na hata kama angekuwa nazo, ZNZ wasingekuwa tayari, kv kwao ni ZNZ kwanza na TZ baadae!! Ingewezekana,endapo tungeweza kuota ndoto nyingine ISIYOWEZEKANA vilevile,at least under prevailing political situation. Ndoto ninayoizungumzia, ni uwezekano wa CCM kuteua mgombea mwingine mbali na JK, tena kutoka ZNZ!!!
 
Migiro is very weak in terms of leadership capacity. She was about to be dropped and sent home from the UN post last year if not pleaded by the Government of URT supported UK Government on condition that MIGIRO's term be extend for one year only (2009) instead of 2 years. So she will be back on her early retirement to Dar next year.
She has failed the UN and Tanzania.
Please do not count on her.
Like Kikwete, Migiro is another 'uchochoro' and the fertile facility for Mafisadis, period.


NOOOOOOOOOOOO Please. Yaani mmeshanza kumchafua huyu mama kwa kuwa mnajua kuwa ni potential candidate!!!!??? Najua wenye uchu wa madaraka ambao kichwani ni watupu na wanategemea mafisadi wawaweke kwenye power wameshaanza kumwogopa Dr. Asha Rose Migiro. Poleni sana.
 
I have some friends in the UN system who are faily at senior positions. Their views on both Ban Kin Moon and his deputy Asha Rose Migiro is that these two are not up to their tasks. Migiro is particularly criticized for not being dicisive even on matters that are routine. As a leader you cannot shy away from taking decisions just because issues at hand are contraversial. A leader should be bold enough to take decisions even if they are not palatable to the led. With this background I tend to share the view that M/s Asha Migiro is a weakling who cannot manage the current crisis facing our country. Tanzania needs a no nonsense leader at this particular juncture.
 
I have some friends in the UN system who are faily at senior positions. Their views on both Ban Kin Moon and his deputy Asha Rose Migiro is that these two are not up to their tasks. Migiro is particularly criticized for not being dicisive even on matters that are routine. As a leader you cannot shy away from taking decisions just because issues at hand are contraversial. A leader should be bold enough to take decisions even if they are not palatable to the led. With this background I tend to share the view that M/s Asha Migiro is a weakling who cannot manage the current crisis facing our country. Tanzania needs a no nonsense leader at this particular juncture.

Tatizo la waswahili waliobahatika kusomea nje hasa nchi za magharibi na hivyo kufuata mfumo wa fikira kama wamagharibi, kama huyu mwenzetu hapo juu, ni kuwa mwafrika hata awaje huwa hafai. Wa magharibi walianza kuwa judge wote, Moon na Migiro mara tu baada ya kuchaguliwa kwao na hata kabla hawajachukua nafasi zao. Mtakumbuka kuwa, licha ya Migiro kuwa na sifa zote kielimu, baada tu ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo, western press ilianza kumshambulia na kumuwekea mkakati maalum wa kumuuliza maswali mazito katika press conference yake ya kwanza UN. Baada ya kuwashushua katika press conference hiyo wakaanza mkakati mwingine wa kumtolea sifa za uongo kama hizo hapo juu.

Ukweli ni kwamba jamaa hawa wana speculate tu kuondolewa kwa Migiro lakini hamna lolote ni roho ya korosho tu. Sijui akiwa huko wao wankosa nini hapa Tanzania. Badala ya kuwasakama mafisadi papa wanamsakama maskini huyu mama ambaye anaishi kwa jasho na brains zake tu.

Shame on those Tanzanians who support westerners to supress their own people. Mzungu akishikilia wao roho zao nyeupee lakini wakiona tu mswahili wanakasirika. Kama ninyi ndio wazuri kiasi hicho basi nendeni huko kwa wazungu wenu muone jinsi nayi mtavyo baguliwa. Ha ha...
 
Yule mama sijui mmna mpaka nini. As things are sasa hivi, akirudi inabidi awe waziri mkuu at least, anything lower is a demotion.... Kama anarudi next year then you better believe kuwa lazima ale strong position.
 
Ikifika kwenye mambo kama haya ndio una wa admire wa-Nigeria siku zote wanasimama kumtetea mtu wao. Kama mnataraji hao wamagharibi wamlundikie sifa mmatumbi ur mistaken!
 
Last edited:
Mama, kama madhumuni yako ni Kumpatia J.K. mwenza ktk kinyang'anyiro cha 2010, basi pendekeza Mzanzibari. Katiba inatamka hivyo.
Hata hivyo, licha ya matamshi ya wazee wa CCM hivi karibuni kwamba kusiwe na mtu wa kum-challenge J.K. kama mgombea toka ccm,nadhani waumini wa demokrasia ya dhati wa chama tawala, ingefaa wawafikirie watumishi wa umma waadilifu na maarufu kama ASHA ROSE MIGIRO.
 
Mama, kama madhumuni yako ni Kumpatia J.K. mwenza ktk kinyang'anyiro cha 2010, basi pendekeza Mzanzibari. Katiba inatamka hivyo.
Hata hivyo, licha ya matamshi ya wazee wa CCM hivi karibuni kwamba kusiwe na mtu wa kum-challenge J.K. kama mgombea toka ccm,nadhani waumini wa demokrasia ya dhati wa chama tawala, ingefaa wawafikirie watumishi wa umma waadilifu na maarufu kama ASHA ROSE MIGIRO. Vinginevyo Asha Rose Migiro akiteuliwa Waziri Mkuu baada ya kinyang'anyiro cha 2010, itakuwa ni maandalizi mazuri kwa 2015 yeye agombee U-Rais.
 
Sasa kama yeye anasurvive kwa sababu ni damu damu na
moon yeye anashindwaje kuwa damu damu na watanzania wenzake? Mimi nilidhani utasema kuwa yuko pale kwa sababu ya competence zake kumbe ni ushikaji mtake radhi!

Lakini mkuu nakuaminia kwa kuwa karibu na viongozi habu nipe siri ya kuwa karibu nao( mimi nataka mafisdadi hasa)

- Mkuu umeanza tena? Si mara ya mwisho uliapa hutarudia tena ligi na mimi vipi mkuu?

- Hivi unataka kusema Moon alimchagua huyu mama kwa sababu alikua competent kuliko wengine wote duniani?

- Yaaani hao mafisadi wote ulio karibu nao bado unahitaji wengine tena, Nchimbi si ndio baba yao sasa unatka nini tena?

Respect.

FMES!
 
Suina matatizo na mama Migiro, namfahamu kuwa ni mama kipanga sana.
Hata huivyo, najua kuwa mama Migiro aliwahi kuwa Waziri katika Wizara mbili tofauti kabla ya kwenda UN. Nadhani kuwa ili tupime vizuri uwezo wake wa kuiongoza Tanzania, tuangalie zaidi utendaji wake katika Wizara alizoongoza kuliko utendaji wake huko UN.
 
mama kwa sheria za sasa kama rais anatoka Tanzania Bara makamu atatakiwa kutoka visiwani.Ila ni wazo zuri akianza kujiandaa kwa safari ya 2015 hata kwa kuchukua fomu kupambana na jk,ni haki yake na anaweza
 
Migiro is very weak in terms of leadership capacity. She was about to be dropped and sent home from the UN post last year if not pleaded by the Government of URT supported UK Government on condition that MIGIRO's term be extend for one year only (2009) instead of 2 years. So she will be back on her early retirement to Dar next year.
She has failed the UN and Tanzania.
Please do not count on her.
Like Kikwete, Migiro is another 'uchochoro' and the fertile facility for Mafisadis, period.
Hi I am interested on this. I (we) need more data please.
 
Kuna viongozi wa kizungu wengi waliostaafu. Waombeni kuja kuongoza nchi.

Kama watu mnashindwa kuongoza simple thing kama kiwanda cha bia chenye wafanyakazi chini ya 5000, mtawezaje kuongoza nchi yenye watu millioni 40?
 
Migiro ameonyesha leadership nzuri katika UN hasa wakati ule wa Gaza Crisis,iliyoukaribisha mwaka huu. Ban Ki Moon hakuwepo karibu,for some reason,Migiro did it almost by herself.
Kuna watu wa Hamas pale walikuwa very militant,hawataki ile vita iishe,kumbe wale watu walikuwa hawapo Gaza wakati ule,they were speaking from the safety of Damascus. Hamas walicharuka sana,na Raphaela,Balozi wa Israel katika UN alikuwa anaongea very uncompromising statements,lakini Migiro saved the situation.
 
..ile statement ya Dr.Asha-Rose Migiro, kwamba El-Bashir wa Sudan anapaswa ku-cooperate na Mahakama ya Kimataifa, ilinithibitishia kwamba huyu mama ana msimamo.
 
Kweli Tanzania na Afrika nzima kwa ujumla kuna vacuum kubwa sana ya uongozi! Kwa vile tu huyu mama ni naibu katibu mkuu wa Umoja wa mataifa (chombo ambacho sisi masikini wa dunia ya tatu tunakiona kuwa ni dili kufanya kazi hapo) basi watu wanamwona huyu kuwa anafaa.

Okay, si alikuwa waziri huyu? Kama ni hivyo basi pia alikuwa mbunge. Huko bungeni mchango wake ulikuwa nini? Alisimamia nini? Vipi kuhusu ufisadi? Aliupinga kwa kadri ya uwezo wake? Alipendekeza bill ngapi na zipi?

Hayo ni maswali machache tu ambayo tunapaswa kujiuliza....siyo tu kwa vile yeye anafanya kazi kwenye hiyo irrelevant organisation basi ndio iwe tiketi ya moja kwa moja. Hell no..
 
Ganesh,
Mkuu acha kamba, kama unamsifia mama Migiro msifie kwa sifa anazostahili lakini sio swala la Gaza...
Waisrael wamepiga Gaza na kuingia ndani hadi mission yao ilipofanikiwa kama walivyotaka na wakaondoka wao kwa mahesabu yao na sio msisitizo wa Migiro au UN. Wale viongozi wa Hamas waliondoka (kimbia) Gaza pindi tu Israel iliposema itaingia Gaza...
Destruction iliyofanyika haiwezi kupoongezwa UN kwa njia yoyote kwani hawakufanya kitu, isipokuwa pale Israel iliporuhusu..
Israel had last say on everything!
 
Mtu muhimu katika hii draft kuliko wote ni Dk. Migiro mwenyewe. Na simuoni kumchallenge Kikwete 2010, hata kama angekuwa hana that cool gig at the UN, Sembuse sasa analo.

Aliyeleta wazo hili either hajui siasa za Tanzania au ana tu overestimate uwezo wetu wa kubadilika.Migiro in a way in protege wa Kikwete na hawezi kumpinga Kikwete baada ya term moja kwa kuwa anajua hawezi hata ku wa nominated, kwa nini a risk her high profile job at the UN for a such a risky endeavor? I believe she is smarter than that, you just do not rise that high in the UN without being able to grasp simple decision making. I would say she may not be interested even in the 2015 race, although realistically that one is a more open succession race.

Ushaambiwa CCM hawabadilishi rais baada ya term moja.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom