Asha Migiro hatulii NY?

Siyo mbaya sasa Tanzania ikapata rais mwanamke maana wanaume wamechemsha....samahani siyo wanaume wote wamechemsha bali walioko madarakani
 
Kuna jambo gani la maana amewahi lifanya afikiriwe kuongoza nchi hii yenye matatizo lukuki na umasikini?
 
Nini hasa cha kujivunia alichokifanya pale UN? Naona anapigwa promo ya nguvu kweli!

Labda tuiweke hivi mkuu, tutamkumbuka kwa jambo gani alilolifanya alipokuwa UN hata tuguswe na kumpa urais. Sana asana walihalalisha mauaji ya Gaddafi.
 
Jamani uno rais wetu kavaa viatu tofauti kimoja cha kuchomeka kingine cha kufunga na kamba,
 
Vijana wa CDM wameanza kupaka matope

Hawa jamaa itafikia siku watakuwa kama machizi barabarani wakiongelea CDM tu hata kazi washasahau hawa sijui wanaishije kama kila walionalo kwa watu hulihusisha na uchaguzi wa 2015. Hivi Jamaa za SLAA na Mbowe hawajawafunda kuachana na majungu kampeni zinapomalizika? hawaoni wao sasa hivi wamejimbia wanatafuna RUZUKU huku wakitunga nyimbo za kuingilia 2015?
 
Mkristo,alafu anatoka zanzibar? Mh! Hivi Znz kuna wanasiasa wakristo kweli?

Wako wachache, mmoja wapo ni Mbunge wa serikali ya Muungano Jimbo la Dole, Silvesta Mabuba. Sometime uwa anaonekana akiongoza vikao vya kamati vya Bunge-Dodoma.
 
MIGIRO SIO POLITICAL GIANT,ANAMTEGEMEA JK KWA KILA KITU HATA hiyo UN post ni matokeo ya kampeni ya JK kwa BAN KI-MOON.
 
Hatuna muda wa kumpa urais mwislamu tena. Hawa marais waislamu ndiyo wanaotuletea ugumu wa maisha.

Ngoja nikanawe uso na nivae miwani nitazame vizuri aliyetuma thread hii! Siamini kama pepo la kijani limekukimbia katika jina la Tanzania!
 
.........acheni uvivu wa kufikiri, mukulu anataka atoke vipi? teh teh kama ile hoja dhaifu ya uspika gender(iliyomweka makinda) afu hana makundi hapo ndipo CDM tutaanza kushangilia ushindi mwanawane
 
Back
Top Bottom