Suala la urais linaweza kuwa gumu kwa vigezo vya jinsia na dini. Kwa taratibu zisizo rasmi Rais ajaye anatarajiwa awe mkristu na ikiwezekana kutoka ZnZ.
Nashangaa kumwona Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Asha Migiro akiwa Tanzania na kutembelea Ikulu, sijajua kazi yake inamruhuku kurudi likizo kila mwezi Tanzania au Umoja wa mataifa una vipa umbele vya pekee kumtuma Naibu Katibu Mkuu wake kuja Tanzania? Au anaandaliwa kwa jambo jingine muhimu siku za usoni hapa nchini? Wiki alikuwepo Tanzania na kuonana na Mkulu kama picha inavyoonyesha.

Thread ya kimbea hii...wataka akipata likizo aende wapi?
Huyu Asha Migiro kazi ya pale UN ni kuangalia mambo ya Malaria na Ukimwi hakuna cha ziada
mshenzi tu yule, anaandaa mazingira ya kugombea urais 2015. atashangaa atakavyopigwa chini
Bakwata watalaani yeyote atakayemchafua huyu mama.
huyu mama ameshaingia free mason? ona walivyoshikana mikono...aina hii ya kushikana mikono inatumiwa sana na iluminati