Asha Abdallah yupo India kutibiwa mguu

Gharama aliyo tumia kwenda India na matibabu tunalipa walimu wangapi? Au tunaweza jenga zahanati ngapi?
 
loooh, hali imekuwa mbaya,
mbona zama hizi watu wengi sana wanaumwa jamani,
kweli marazi yamekuwa mengi siku hizi. Mungu awanusuru watu wake.
 
unatukana mamba wakati hujavuka mto
we ndio wale wanaojua wakiugua watatibiwa India kwa kina choti bahuu
je ukipata heart attack watasubiri hadi ufike India hawatakuhudumia kwa vile ni uchwara
aisee FF mbona unakuwa pointless au elimu yako ni ya kununua kama ya kina nchiiiiiimbwiiiii na dokito kamura???
Ukiona mtu anakwenda kutibiwa nje ujuwe madaktari uchwara wa hapa wameshindwa.
 
imgp0612.jpg


katibu wa organizesheni wa chama cha mapinduzi (ccm) yupo india kutibiwa mguu. Akiwa amekula pozi na wauguzi wa hospitali ya miot nchini india.

nazani hawa wahindi wanashangaa sana taifa linaloitwa tanzania,maana ni as if hakuna madaktari-
huko tunakokwenda hata mtu akiwasha kidole ataenda india,as long hela za walala hoi zipo
 
Umeshasahau kituko cha wale wagonjwa wa kichwa na mguu?

sakata la kichwa na mguu wa kulaumiwa si dakitari.
Kuna wanaohusika na kupanga nani akapasuliwe lini, wapi na apasuliwe kiungo gani.
Mtaalam akifika anatazama mafaili na kuanza kuchana miutumbo.
Hii nimeiona hospitali za nje, inawezekana ndio taratibu za hospitali zote.
Put your blame outta surgeons...
 
Back
Top Bottom