Asha Abdallah yupo India kutibiwa mguu

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
IMGP0612.JPG


Katibu wa Organizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM) yupo India kutibiwa mguu. Akiwa amekula pozi na wauguzi wa hospitali ya Miot nchini India.
 
ndo walewale... yeye mguu anakimbilia India. Wananchi wanakufa...halafu eti katibu wa organai.. ya ccm.
 
hee huyu kakimbilia MIOT KUMBE KUNA MIOT NILIJUA APPOLO PEKEYAKE
 
Ndiyo maana mambo ya mgomo wa madaktari hayawahusu! Kwao taarifa za mgomo,
zinaingia katika sikio moja, na kutokea sikio jingine! Hospitali zao ziko India! Walalahoi
watajijua!
 
mkuu ni mguu mmoja tu huo umempeleka "In-dia"!!!siyo miguu!!!jamani hawa madaktari wetu wasingeweza kumtibu hata huo mguu mmoja!!!
 
Wao migomo wanaisoma tu kwenye net. Kuijadili hawataki.

Na First Aid Fanyiweni India basi
 
Ivi kweli jaman mguu hata Profesa maji marefu angeshndwa kumtibu uyu dada? kweli nch ya walevi hii
 
Naona watu wengi wanakenda nje kwa matibabu ya kulipia kwa hesabu ya serikali. Hili ni jambo zuri pia sababu kumtibu mtu ni moja ya sifa za ubinaadamu. Ni naomba kufahamishwa:
1) Je ni watu gani wanastahiki hii huduma ? ( vigezo )
2) Je ni madktari wa serikali ndio wana pendekeza mtu apelekwe nje kwa sababu matibabu hayapatikani nchini ?
3) Kuna kiwango cha haya matibabu ?

asanteni
 
Ukiona mtu anakwenda kutibiwa nje ujuwe madaktari uchwara wa hapa wameshindwa.
 
Ukiona mtu anakwenda kutibiwa nje ujuwe madaktari uchwara wa hapa wameshindwa.

safari ni safari...,
iwe kwa miguu...,
ama kwa basi...,
safari ni safari...,
kiangazi au masika...,
safari ni safari...,
baiskeli au daladala,
safari ni safari...
Lo looh looh loh looh...
Lo looh lo looh,
safari ni safari!
 
Ukiona mtu anakwenda kutibiwa nje ujuwe madaktari uchwara wa hapa wameshindwa.

Kaseme hivyo botswana kama hawajakunaniiihiiii mpaka uk wapo na wanaheshimika ila sikushangai kwa kuwa wewe ni gamba huwezi kuona umuhimu wa ma doctor wa tz since bwana zako hawazitumii ila kwenye kutetea huduma za afya huwa unatumwa wewe kubwatuka.kuwa serikali ya chama chako imeweza na inasonga mbele leo unakuja kwa mlango mwingine ooh madaktari ovyo. Elewa kuwa hata mvuvi makini kiasi gani hataweza kuonyesha umahiri wake nchi kavu
 
Back
Top Bottom