Asemavyo Mkapa Kupitia BBC

Mkapa anadhani watu tumesahau video yake ya kufanya biashara. chadema wakichukua nchi anajua lazima atanyea debe!
 
Its always a strategy in Africa where the former rulers praise the government in charge because they know what they have done in the past. Its no mistake when you hear him say something like that and more are to come. It is called saying what the rulers want to hear and in return, protect what you have acquired(illegally)
 
Huyu mzee alikuwa anasifika kidogo kwa mambo machache alo yafanya lakni sasa anakufa vbaya
 
Hi JF members

Leo asubuhi kupitia BBC Mkapa Rais wa awamu ya 3 wa JMT amezungumza yafuatayo;

Wengi hawajui katiba mpya inaandikwaje wanafikiri tunachukua plane paper tunaanza kuandika kila kitu Nooo hatufanyi hivyi isipo kuwa marekebisho makubwa yanafanyika nchi nyingi zinafanya hivyo

Tulipo anzisha mfumo wa vyama vingi tulitegemea kuona vyama vipya vinakuja na mfumo,sera tofauti na CCM lakini sasa vyama vingi vina mfumo na muundo sawa na CCM.

Wengi wanafiri katiba mpya ikianza kutumika tu basi upinzani utashina Nooo si rahisi kuishinda CCM

Wengi wanalalamika kuwa tume ya Uchaguzi si huru ukiwauliza si huru kivipi hawasemi wanashindwa kueleza

Alikuwa akijibu maswali ya mtangazaji wa BBC. Mazungumzo haya yataendelea wiki ijayo ikiwa ni sehemu ya maadhamisho ya miaka 50 ya UHURU wa Tanganyika

Nawasilisha

Eee, Mungu! Muongezee muda wa kuishi BWM, Ili aone kwa macho yake ccm ikianuka!
 
Back
Top Bottom