Asanteni waja-jf

Ckubahatika kuona hiyo thread,natamani kufahamu labda na mie nitajifunza kitu
 
mbona hujasema ulifanyaje ,mpk limetoka

Nilisema ya kuwa kuna mtu alijitokeza after ile thread ku-appear, aliniambia kuna mtaalam 1 wa tiba za asili ambaye anaweza kutibu matatizo kama hayo aliyokuwa nayo wife, na after five days hali au hisia wakati wa tendo la ndoa zingemrejea wife na pepo huyo mbaya naye angekuwa ametoka kabisa na kutomsumbua tena wife.
 
hongera sana.furahia ndoa
 
kwa hiyo mna do kwa masharti ya sangoma?
 
Vituko vingine haya na mimi naona nalihitaji jini mahaba maana nasikia raha iliyozidi ninapo do. Ila linijie robo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom