dada yangu unluky, pole sana na pia washukuru sana wale wote waliochangia mjadala huu. nikwambie ukweli, kama baadhi yao walivyosema, wewe pia umechangia kwa namna moja ama nyingine tabia ya mumeo. Ukitaka kujua zaidi, nakushauri tafuta kitabu kimoja kinaitwa NDOA YANGU, NINGEJUA kitakupa majibu yote na nini ufanye mumeo atulie na kukupenda ikiwa ni pamja na kukupa huduma zote za mke