Asanteni kwa mawazo yenu

unlucky

Senior Member
Aug 9, 2011
199
56
Niliongea kuhusu mume kwenda nje kila mtu kachangia wazo but let me tell u truth guys mie siendi nje nai heshimu sana ndoa yangu na mume nampenda sana na nimezaa nae watoto 3, na mda ninao kwa ajili yake.

Sifanyi job niko ndani tu but mwanaume huyu hanithamini mpaka nikiwa na mimba ananipiga kipigo kikali na hashindi ndani kuanzia asubuhi anatoka mpaka alfajiri anarudi pia nimekaa kimya msg simu za wanawake pia naona but still niko kimya no sex btn us mpaka miezi inapita hata 2 na hata akikutana kimwili basi dakika 2 tu hivi kweli hii sahihi.

Kwa kweli mie nitasema kitu kimoja mume ndo anamfanyisha mke aende nje afanye hilo kosa coz mume hampi love,care,happiness kila kitu sio pesa jamani mapenzi....

Wewe ukienda nje ingali upo kwenye ndoa utakuwa unafanya hivyo kwa hiari yako mwenyewe. Usiseme mume ndo anakufanyisha uende nje kwa sababu huko nje unajipeleka mwenyewe unless uniambie anakupeleka yeye mwenyewe.

Hakuna mtu anayemfanya mwenzake alale na mwingine asiye wake. Ama achana naye au vumilia na ukiheshimu kiapo ulichoapa. Kama huwezi kukaa bila sex basi achana naye kwanza halafu ndo ujiachie upendavyo. Lakini si utoke nje halafu utoe kisingizio cha eti yeye ndo amekufanyisha utoke. Haikubaliki hiyo.

Pia maisha si kukomoana, bali nyendo zake hizo zitamfikisha mahali atakutafuta na kukupigia magoti!
Je njia za kusuluhisha ndoa hii zote zimeshindikana?
Huoni kuwa labda wewe binafsi una tabia moja ya kishenzi inayom'boa sana bwanako, maana si rahisi ukajiona!

Nafikiri kuna kitu ambacho kimemfanya mume wako awe na hizo tabia
Angalia mienendo yako na ujichunguze mahali ambapo ulikosea na ujirekebishe mapema
Kwenda nje ni kumkomoa mumeo na hapo hujafanya lolote la maana
Je ushawashirikisha wazazi au mshenga wa ndoa yako kabla ya kufikia maamuzi haya

Wewe ukienda nje ingali upo kwenye ndoa utakuwa unafanya hivyo kwa hiari yako mwenyewe. Usiseme mume ndo anakufanyisha uende nje kwa sababu huko nje unajipeleka mwenyewe unless uniambie anakupeleka yeye mwenyewe.

Hakuna mtu anayemfanya mwenzake alale na mwingine asiye wake. Ama achana naye au vumilia na ukiheshimu kiapo ulichoapa. Kama huwezi kukaa bila sex basi achana naye kwanza halafu ndo ujiachie upendavyo. Lakini si utoke nje halafu utoe kisingizio cha eti yeye ndo amekufanyisha utoke. Haikubaliki hiyo.

nahc umeandika bila kufikiria vzr

niliongea kuhusu mume kwenda nje kila mtu kachangia wazo but let me tell u truth guys mie siendi nje nai heshimu sana ndoa yangu na mume nampenda sana na nimezaa nae watoto 3 na mda ninao kwa ajili yake sifanyi job niko ndani tu but mwanaume huyu hanithamini mpaka nikiwa na mimba ananipiga kipigo kikali na hashindi ndani kuanzia asubuhi anatoka mpaka alfajiri anarudi pia nimekaa kimya msg simu za wanawake pia naona but still niko kimya no sex btn us mpaka miezi inapita hata 2 na hata akikutana kimwili basi dakika 2 tu hivi kweli hii sahihi,kwa kweli mie nitasema kitu kimoja mume ndo anamfanyisha mke aende nje afanye hilo kosa coz mume hampi love,care,happiness kila kitu sio pesa jamani mapenzi....

unachokisema ni kwel kbs.pole sn,unajua pia kuanzsha mahucano mengn n shida.hebu tafta k2 ktakachokfanya uwe busy il kupunguza machungu

Badala ya kufikiria mawazo ya kwenda nje ili kulipiza yale anayofanya mme wako, ni vema ukautumia huo muda kufanya utafiti wa kina kufahamu ni nini anachokikosa kwako mme wako ili ukifanye kiwepo na asiwe na mawazo ya kwenda kukitafuta nje.

asanteni lakini kuna wengine naona wananifikiria vibaya mie siwezi kwenda nje kamwe coz nampenda true love siwezi kumfanyia mabaya nampenda sana na navumilia na kuhusu sex mie simind hata tusionane but respect love ndo sipewi mie nimtaratibu sana hamna nachomuuzi ila huyu bwana anatabia hiyo tangia mwanzo alificha makucha yake now naziona machngu yapo mengi sana hamna mwanamke atakae kubali kuambiwa kama yeye mfanyakazi na ni machine ya kuzaa tu hamna lingine but ndugu zangu yapo mengi ya kusema kuhusu maisha yangu

ndiyo wanajua yote lakini hawawezikuniingilia coz nilifanya ndoa kwa siri hata wao kujua kwa hiari yangu ndo mana leo yamenikuta
Nafikiri kuna kitu ambacho kimemfanya mume wako awe na hizo tabia

Angalia mienendo yako na ujichunguze mahali ambapo ulikosea na ujirekebishe mapema

Kwenda nje ni kumkomoa mumeo na hapo hujafanya lolote la maana

Je ushawashirikisha wazazi au mshenga wa ndoa yako kabla ya kufikia maamuzi haya

kwa kweli naumia sana kwa yote anayonifanyia nimelia sana mpaka machozi sasa yamekauka kuna mume anae weza kumtell mke kama tafuta bwana mwingine na mie mke wa pili mke wa kwanza pia kafanyiwa haya yote sasa mimi na anatka kuoa tena watatu hivi ndugu zanguni hivi hii sahihi yaani mpaka nawachukia wanaume waongo sana sitaki tena kuolewa najuta hamna mapenzi ya kweli dunia hii kila mtu anamaana yake anataka anachokitaka basi tu

kila mwaka nazalishwa mtoto mmoja ili niwe busy na watoto ye afanye mambo yake hivi kweli jamani wanaume wanaroho ngumu namna hiyo now nimepatwa na matatizo fulani ya magoti kulia nikichuchuma au nikibend zinalia sielewi ni nini au yale maji ya uchungu yanaifect naomba ushauri

kumbuka mvumilivu hula mbivu.....................usishindanie kunya kwa tembo kwani utapasuka msamba.............jiulize huyu mwanadamu humu duniani kabakiza miaka mingapi vile hata akupasue kichwa mtumikie Mungu tu na ukae mbali na dhambi........

pole sana wanaume wengi wa maofisini ni wahuni sana but tafuta shughuli za kufanya na wewe uingize kipato kwa kuwa kuna wakati atahama kabisa akuache na malaika wako,

kila mwaka nazalishwa mtoto mmoja ili niwe busy na watoto ye afanye mambo yake hivi kweli jamani wanaume wanaroho ngumu namna hiyo now nimepatwa na matatizo fulani ya magoti kulia nikichuchuma au nikibend zinalia sielewi ni nini au yale maji ya uchungu yanaifect naomba ushauri

acha usizae tena kwa wakati huu nenda hospital watakupa ushauri wa nji hipi ya kutumia.
Pili tafuta shughuli yeyote ufanye pika hata maandazi angalau usikae bure
Tatu angalia na zingatia usafi wa kwako na watoto kwani watoto watatu waliofululiza usipokuwa makini na usafi nyumba itakimbiwa.
Pia usimwonyeshe kama anayoyafanya yanakuumiza.

kila mwaka nazalishwa mtoto mmoja ili niwe busy na watoto ye afanye mambo yake hivi kweli jamani wanaume wanaroho ngumu namna hiyo now nimepatwa na matatizo fulani ya magoti kulia nikichuchuma au nikibend zinalia sielewi ni nini au yale maji ya uchungu yanaifect naomba ushauri

Sasa jamani unashindwa kufanya hata mpango wa kuzuia mimba jamani?!Alafu tafuta hata kakibarua ufanye maana siku akiamua kukufukuza na watoto hayo unayoyaona ni matatizo sasa hivi utayaona madogo!!!

Utegemezi uliokithiri nao hua unasababisha dharau kati ya wanandoa...jivue hilo gamba la ugolikipa anaweza akaanza kukuheshimu.

kwa kweli naumia sana kwa yote anayonifanyia nimelia sana mpaka machozi sasa yamekauka kuna mume anae weza kumtell mke kama tafuta bwana mwingine na mie mke wa pili mke wa kwanza pia kafanyiwa haya yote sasa mimi na anatka kuoa tena watatu hivi ndugu zanguni hivi hii sahihi yaani mpaka nawachukia wanaume waongo sana sitaki tena kuolewa najuta hamna mapenzi ya kweli dunia hii kila mtu anamaana yake anataka anachokitaka basi tu

<br / kosa la 1. UMEOLEWA NA MUME WA MTU (we ni mke wa 2)

niliongea kuhusu mume kwenda nje kila mtu kachangia wazo but let me tell u truth guys mie siendi nje nai heshimu sana ndoa yangu na mume nampenda sana na nimezaa nae watoto 3 na mda ninao kwa ajili yake sifanyi job niko ndani tu but mwanaume huyu hanithamini mpaka nikiwa na mimba ananipiga kipigo kikali na hashindi ndani kuanzia asubuhi anatoka mpaka alfajiri anarudi pia nimekaa kimya msg simu za wanawake pia naona but still niko kimya no sex btn us mpaka miezi inapita hata 2 na hata akikutana kimwili basi dakika 2 tu hivi kweli hii sahihi,kwa kweli mie nitasema kitu kimoja mume ndo anamfanyisha mke aende nje afanye hilo kosa coz mume hampi love,care,happiness kila kitu sio pesa jamani mapenzi....

<br / kosa la 2. HUFANYI KAZI/SHUGULI YYT YA KUKUINGIZIA KIPATO NA KUKUKA BUSSY unamtegemea mwanamume kwa kila ki2

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom