Asanteni kwa mafunzo yenu.

Karib sana na mimi hapa ndio editor mkuu wa hili jukwaa. Majukumu yangu ni pamoja na kusahihisha spelling, kucensor matusi, kuwalinda kinadada wasikuwe abused, kuondosha pumba kwenye sredi, n.k n.k
Nimeowa hapa hapa JF, waifu anaitwa Lizzy.
Karib sana, jiskie upo bangladesh
 
Hehehe,asante sana ila jina lako chungu sanaaaaa.Kumbe Lizzy mkeo?hongera sana.
 
Albina you are warmly welcome, tuendelee kuneemeka! Waweza wakaribisha wote hata wasiojua kidhungu, hili ni jukwaa la kijamii zaidi (la kiTZ zaidi)!!!
 
Haya bana....nitaomba kuambatana nae kwa hizo siku zote atakapokuwa state house!!

Gharama itaongezeka kibongo tunanunua soda moja ya mgen sasa wewe utakubali kumtazama kama upo willing karibu
 
Habari zenu.
Jamaa yangu hapa amekua akinishawishi sana kujiunga nanyi lakini sikua nakaa sana humu nikiingia.
Lakini toka mwishoni mwa mwaka jana nimekua nikifuatilia topic zenu humu zime nijenga sana
na zimeimarisha sana mahusiano yangu.

Last week nilivo shauriwa kujiunga niliahidi kufanya hivyo,naona kama nime chelewa
sana kujiunga.

Shukrani zangu za dhati sana kwa michango ya kujenga ziende
kwa Lizzy,AshaDii,mwanakijiji...........ohhh wengine majina yamenitoka
ila kazi mnayo ifanya ni kubwa sana.
M'balikiwe sana.

Usiishie JF uje na kanisani kwangu!
 
Back
Top Bottom