Asanteni JF kwa ushauri wenu = Hakimu 'wa Liyumba' atupwa mkoani

Wakuu
Hivi Tanzania hakimu kama amekosea katika kuamua haki hafukuzwi kazi kwa sababu tuna shida ya mahakimu basi anahamishwa tu au?

Mwalimu,

Si ndiyo hapo sasa, mimi nimejaribu kueleza jinsi kanuni hii ilivyopinda.

Tumewafanya Tandahimba ndiyo ma "Gulag Archipelago" yetu ama?
 
Mwalimu,

Si ndiyo hapo sasa, mimi nimejaribu kueleza jinsi kanuni hii ilivyopinda.

Tumewafanya Tandahimba ndiyo ma "Gulag Archipelago" yetu ama?

Yap alianza Nyerere kutengeneza hizo gulag archipelago, mikoa yote ya pembezoni isiyosikia RTD ikawa concentration camps. Bluray hii tabia naona imerithiwa kwenye sekta zote. Watu hafafukuzwi kazi wanastaafishwa kwa manufaa ya umma, sasa tofauti hapo nini? Tatizo Nyerere alikuwa na undugu sana, ila hawa jamaa wa sasa wana mengine zaidi ya kulindana
 
Hivi kwa nini wanamkalisha baba wa watu jail muda mredu kiasi hiki? Mbona wakina Yona na Mramba walitoka kwa dhamana, inakuwaje huyu wanambania kiasi hiki? Hebu mpeni dhamana jamani Liyumba. Kwanza hizo pesa za BOT sijui EPA wala hakula peke yake, vigogo wengi tu walikula.
 
Wenzake wana connection zaidi obviously kwa sababu walikuwa kwenye position za juu zaidi. Mimi nadhani tuleave aside Mramba na Yona wamekua treated vipi. Tuangalie ishu ya Liyumba kama Liyumba. Je ana stahili kunyimwa dhamana? Kama ni stahiki yake basi nadhani unge advocate Yona na Mramba kufutiwa dhamana badala ya Liyumba kupewa dhamana.
 
Yaliyotendeka mwezi wa pili huwezi kuyajua kwani wewe bado mchanga sana humu ndani. Hii kauli ya kuwa hukumbuki kuwa JF WALIWAHI KUJADILI HILI SWALA niya ajabu sana ambayo sikuitegemea kutoka kwako waachie kina shy wabishi waendelee kubisha.

Pamoja na uchanga wangu lakini kusoma najua na naelewa ninachokisoma between lines, ukiangalia posts zako tatu mfululizo yaani 18, 19 na 20 unasisitiza kujadiliwa kwa Liyumba, nadhani humu ndani hiyo siyo issue hata kidogo. Issue ni wapi ambapo JF walishauri kuwa hakimu atupwe mkoani? Kwa pamoja kama forum au kwa mtu binafsi, kama mchangiaji.

Mwezetu uliyekomaa na kupevuka hebu tuoneshe ni wapi JF walisema kuwa hakimu apelekwe mikoani shauri ya maamuzi yake utakuwa umetusaidia sana ndugu yangu. Liyumba anaweza kuwa alijadiliwa lakini JF kutoa ushauri mmmmm hili sikumbuki na nikisoma silioni kabisa.
 
Nilishaeleza page 2 wapi pa kusoma sina zaidi. Utaifa mbele.
 
Nani kasema Pwani wanafaa wala rushwa? Mimi sikusema hivyo.Mimi nina attack assertion yako kwamba kumpeleka mtu Tandahimba ni "adhabu" sawia kwa mtu mla rushwa, umeifanya wilaya ya Tandahimba kuwa kama gereza na mwenyewe umeridhika kabisa.Ndiyo maana nakuonyesha kwa kuhalalisha Tandahimba kuwa jaa la kutupa wala rushwa, unakuwa huwatendei haki wananchi wa wilaya hiyo.

Granted inawezekana kabisa kwamba huko ni vijijini mbali na mjini, lakini hii ndiyo iwe sababu ya kuwatupa wala rushwa huko? Keshokutwa wakitaka huduma bora za jamaii mtakataa kwa sababu "kumejaa wala rushwa"?.Wakishindwa kuendelea hata kidogo kujinasua na hiyo vicious cycle of poverty mtakubali kwamba hizi tabia za kuzifanya hizi peripheries za nchi yetu ziwe ndiyo Siberia yetu zinachangia?

C'mon man, kubali umechemsha.

Acha siasa bana........kama ndo hivyo mbona huhoji kwanini apelekwe Pwani? kwani huko ndo kunawafaa wala rushwa?
 
Back
Top Bottom