Asante!!!

Kuna mtu alianzisha thread hapa jana akilalamika alimwagijwa mboga ya maharagwe kwenye mgahawa. Jamaa hata hakuomba radhi bali alidai angepitaje wakati mgahawa ulikuwa umejaa vile.

Kilichomuuma zaidi ni kwamba hakuombwa samahani na jamaa akawa mtemi, kumbe neno la "samahani" linge-clear kila kitu.
 
good manners ni kitu cha muhimu ..
Nakumbuka kipindi kile ni shule ya msingi ..
Mwalimu anakutandika sababu hukuleta maji .
halafu baada ya kupokea hizo mboko zote unasema "ASANTE"

Na nnakumbuka wakati mdogo wangu wa mwisho akiomba kitu
au akitaka kitu mama huwa anamwambia " what's magic word"?
Vitu kama Asante, samahani, Tafadhali, Pole i muhimu sana kwa maisha ya kila siku..

Heshimu kila mtu Hujui nini kinakuja mbeleni na nani utamuhitaji.
Maisha ni safari ya wote na si mmoja.
Asante Lizzy Luu..
 
Safiiiiiiiii...........Safiiiiiiiiiiiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaa! Asante Lizzy.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom