Asante sana Mh Mnyika, umewajibu mabongo lala, wauza sura na manjuka

Nampongeza sana John Mnyika kwa uchangiaji wake wa hotuba ya budget na msimamo aliouonyesha, tunashukuru sana. Baadaye tutasikia jembe lingine la Chadema kutoma Mwanza- WENJE kaeni mkao wa kula hapo saa 11:00 generator zenu ziwe na mafuta ya kutosha isijekuwa Magamba wakakata umeme. Big up chadema.
Hapo kwenye red umenigusa maana kwetu mbezi juu jana muda wa zitto kusoma budjet ya upinzani ulipofika umeme ukakatika ukarudi immediatly baada ya bunge kuahirishwa. na leo tena exactly saa tatu wakakata wakarudisha saa saba. Is this coincidence. ngoja tusubiri leo saa 11 (ntacofirm kama magamba wameamua kuchakachua). ikitokea tena naenda kusikilizia Bar maana sina generator.
 
aisee jamani huyu bana amenifanya jumamosi ninue tv ndogo ya ofisi ..yaani aliwawasha mbaya akawa anajibu kama yuko na watoto wa darasani kuna lidada moja la VM jamani hawa wanapendelewa bomu kabisa kabisa yaani hata kuongea ajui..pili anaongelea uccm na uchadema wakati wa hoja za msingi linaitwa ester lubaya or luvaya sikutaka kujua hata kama ana mzazi kwa kweli..anajibiwa na mniyka bado anasisitiza sio mbaya kuchota ujuzi kwa wwaliokutangulia how??
 
hahahahahaha, wee bwana wewe, hahahaha! wapo bwana ila hawapewi nafasi, kinachonishangaza kwanini hawataki kuwa huru? sasa ona wanavyoburuzwa na vilaza kina JK na NEPI.

Nilimaanisha hao walioko kwenye nafasi.Na tatizo la wengi huko magamba ni kukosa ujasiri wanaona CCM kama ni mama na baba yao.Uoga wao ndiyo utumwa wao ndani ya magamba.
 
Nampongeza sana John Mnyika kwa uchangiaji wake wa hotuba ya budget na msimamo aliouonyesha, tunashukuru sana. Baadaye tutasikia jembe lingine la Chadema kutoma Mwanza- WENJE kaeni mkao wa kula hapo saa 11:00 generator zenu ziwe na mafuta ya kutosha isijekuwa Magamba wakakata umeme. Big up chadema.

Hapo umenikuna sana mimi maana toka muda alivyokuwa anachangia Peter Selukamba kabla ya J. Mnyika kwangu wakakata umeme hata ukawa ndo mwisho wangu kuangalia Bunge. Wamenikera hao wahusika wa umeme na wangekuwa wameniona nilitamani kutumia hata battery kavu ingekuwa inawezekana kwenye TV. Ngoja nijipange baadaye nisimkose mzee wa dark market (Wenje).
 
Ok! lakini ambao hatukuwa na umeme hatujui Mnyika alisema nini sasa kwa ufupi jamani tufahamisheni pls!
 
Mkuu samahani sio wote wanaojuwa hiyo lugha, tenda haki ,toa hoja zako kwa kiswahili kwa faida ya wengi. Nakemea sana matumizi ya lugha za kigeni kwenye jukwaa hili.
Kuna sehemu zinahitajika hizo lugha kutumika tumieni sehemu hizo ambazo ni lazima kutumia.

wapo wanadhani kwamba tunaondika kiswahili hatujui kiingereza kumbe tunajali na kuitukuza lugha yetu kuliko lugha za kigeni.. katika jukwaa hili wapo wanaojui kichina, kireno, kiarabu, kifaransa nk wakiamua kuwasiliana nasi kwa lugha hizo mmmmh sijui itakiuaje?

kuna waonafikiri kwamba ukitumia kiswahili kuwasiliana na watanazania wenzako unaonekana hujasoma huna weredi wa kutosha hadi pale unapotumia misamiati ya kiingereza pasipo lazima ya kukopa maneno kutoka lugha zingine japo suala la kutohoa neno kutoka lugha zingine ni kawaida kama upo ulazima wa kufanya hivyo
 
John Mnyika,Ametoa hoja nzuri sana.Kweli hatukukesha ubungo bure katika kuipigania haki,haki hiyo ndiyo inayozaa matunda sasa.I think Other Mps should learn kwa nini Mnyika amekuwa vibrant..... It is terra ferma for him and not terra incognita. It is familiar to him and once you were ceased of the muances of parliamentary discourse and discobolus it follows therefore that it will be familiar to you , partly…but again, partly it is equally responsible…, for the fact that you cannot succeed as a parliamentarian if you are not cosmopolitan. You must be prepared to immerse yourself in societal dialectics for you to be able to contribute efficaciously in a utilitarian modus. If you are a parliamentarian and you don't go through the ritual of even reading newspapers, you don't bathe yourself in the aqua of the political cross currents, then you are going to be deuced, you are going to be paralytic in your contributions. So yes, Mnyika's brief experience in the Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania has been responsible for his vibrancy in one breathe. At another breathe, His desire to perpetually entrench himself in political, social and intellectual currents have equally contributed in its own Sitaki kujadili watu but kwa hili nimeshindwa kuvumilia
Issues zimefanya ujadili mtu dont feel bad! But gud point kakaa
 
John Mnyika,Ametoa hoja nzuri sana.Kweli hatukukesha ubungo bure katika kuipigania haki,haki hiyo ndiyo inayozaa matunda sasa.

I think Other Mps should learn kwa nini Mnyika amekuwa vibrant..... It is terra ferma for him and not terra incognita. It is familiar to him and once you were ceased of the muances of parliamentary discourse and discobolus it follows therefore that it will be familiar to you , partly…but again, partly it is equally responsible…, for the fact that you cannot succeed as a parliamentarian if you are not cosmopolitan. You must be prepared to immerse yourself in societal dialectics for you to be able to contribute efficaciously in a utilitarian modus.

If you are a parliamentarian and you don’t go through the ritual of even reading newspapers, you don’t bathe yourself in the aqua of the political cross currents, then you are going to be deuced, you are going to be paralytic in your contributions. So yes, Mnyika's brief experience in the Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania has been responsible for his vibrancy in one breathe. At another breathe, His desire to perpetually entrench himself in political, social and intellectual currents have equally contributed in its own

Sitaki kujadili watu but kwa hili nimeshindwa kuvumilia

Sawa Ben, Lakini haya matumizi magumu ya lugha yanafanya mtiririko wa habari kuwa mgumu kidogo. Kwanini usitumie lugha rahisi kiasi, na pale inapobidi jadili mada kwa lugha mada iliyotolewa ili usitufanye wengi kutembea na kamusi, wakati hata maneno mengine hayamo kwenye hiyo kamusi
 
Sitaijutia kura yangu kwa mnyika, najua nina mbunge makini, bila kijali chama.
Kichwa hiki kitabadili ubungo. CCM hampati tena Ubungo, sahauni.
 
Mbona hakuna anayesema Mnyika amesemaje huko bungeni? siyo wote walio angalia hicho kipindi kwenye tv. Kwa hiyo mtoa hoja tupe summary ya kilichosemwa badala ya kusema tu amejibu vizuri
 
Nakubaliana na wewe mkuu.
NEPI ni boga head - huwezi kumjibu mtu kama yule
Haaaahahaaaaahaaaa haha haha nhhaaaaaaaaaaaaaaa! HEBU HESABUNI THREAD ZILIZOMO JF ZINAZOMJADILI NAPE, NAPE NAPE NAPE, ANGEKUWA BOGA KAMA MNAVYODAI KWANINI MNAHANGAIKA KUMJADILI HAPA???? BWANA WE DOGO KAWAKIMBIZA HUMU ACHA MCHEZO MPAKA MWENZENU MMOJA JANA KAKIRI KATUMWA KUJA KUMTUKANA TUUUUU HUMU, ALIKUWA MSTAARABU AKAKIRI KUVUTIWA NA HOJA ZAKE LAKINI AFANYEJE!!!!! INASIKITISHA KUONA NAPE HAISHI MIDOMONI MWENU.....Mwalimu aliwahi kusema akiona adui anakusifia umekosea akikutukana na kulalamika umemkamata sawasawa......
 
Mh Mnyika amesema Nepi anasoma bdgt kama vitabu vya A E I O U, haelewi bdgt ya upinzani inavyotengeneza pre conditions za kupunguza gharama za uzalishaji!

Kupandisha fine kwa madereva hakutapunguza ajali bali kutaongeza rushwa kwa vile fine hizi tu za sasa ni kubwa tatizo ni rushwa za trafiki!

Gesi ikitumika kwenye magari nauli Dar zitashuka kwa 50%!

sio wote tumeangalia kipindi hicho kwenye TV, naomba mtujulishe alichosema Mnyika tafadhali.
Wengine tunafanya kazi huku kwa Bepari hamna TV ofcn.
 
Asante Mnyika
Swala la matumizi ya lugha ktk jf ishaongelewa sana,baadhi ya wachangiali bado wanapenda kutumia lugha ya malkia Elz,tena maneno magumu magumu
haya bana,hatuna uwezo wa kuzmzuia mtu achangie kwa lugha gani
 
Mkuu samahani sio wote wanaojuwa hiyo lugha, tenda haki ,toa hoja zako kwa kiswahili kwa faida ya wengi. Nakemea sana matumizi ya lugha za kigeni kwenye jukwaa hili.Kuna sehemu zinahitajika hizo lugha kutumika tumieni sehemu hizo ambazo ni lazima kutumia.
Wewe nae huna tofahuti na huyo NEPI mpaka ujiunge jf hukujua hukuni kingeli? Hiyo profile yako imeandikwa kiswahili?
 
Mmmhh, jamani lengo la JF ni kufikisha ujumbe kwa raia wote wenye kujua kiingereza na wasiojua kiingereza. Sasa hicho kizungu ulichoandika ben unategemea yule mjomba wangu pale stend ya mabasi ya Moshi aliyejifunza kutumia internet kwenye internet kioski ili aweze kutuma email na kusoma JF na michuzi ataelewa kweli hicho kizungu hapo juu????? Tuandike kiingereza rahisi cha kueleweka kwa kila mtu jamani. Hizo kwenye reds and nyinginezo ni wachache wamekuelewa ujue

naomba tuwe wakweli... kaka ben nina digrii kadhaa lakini hapa nimezima fegi..... tunaomba uje na vesheni mpya ya kiswahili...hata kama ni kingereza basi kile cha great britain!! tehetehetehet!!!
 
Kuhusu matumizi ya Lugha,nadhani Kiingereza na Kiswahili ni official language hapa.Labda wale wanaolalamikia vocabulary,hao wako sahihi.Ni ushauri mzuri,asanteni.Tuendelee sasa na mjadala tusiandamane jamani(kidding)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom