asante sana DTV

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
nimefurahi kuona kituo cha matangazo cha DTV kikiwapa airtime VINEGA sio tu kupiga nyimbo zao hata kuwafanyia interview na kupata kuwaelewesha wananchi madhumuni ya vinega. safi sana. ova
 
Tatizo la DTV ni kuwa hawana vipindi pendwa kwa watoto wa uswazi. Wao ni Clouds tuu, Clouds na wao.
More efforts has to be taken, Vinega waongeze alliance zingine na EATV kwa mfano, nayo ni TV inayopendwa.
 
Back
Top Bottom