"Asante Regia"

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Ni uchungu mkubwa lakini Tutakumbuka kwa Upendo na Mengi Ulioyafanyia Taifani Mwetu!
Tuna mengi ya kusema ila' God lead you to this point'
Asante Sana kwa Utumishi Wako na Kufundisha Ni nini Maana ya Uongozi. Sisi Kama Chadema na Nchi nzima Tumeshukuru kufanyakazi na Kupigania Haki ya Taifa.


images


Regina.jpg


Mbunge%2Bwa%2Bviti%2BMaalum%2B%2528Chadema%2B%2529%2BRegina%2BMtema.png


'We will Always Love You and Remember You'
 
R.I.P Regia, mwenzetu umetangulia nasi tuko nyuma yako
Raha ya milele umpe ee bwana,na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani-AMINA
 
Back
Top Bottom