Asante mnyika kwa kutupatia neno mbadala la kwaita .

Hahaaaa. Mnyika kanikumbusha enzi hizo harakati za madenge na dingi yake ndani ya Gazeti la sani. Dingi katoa ushuzi madenge akaanza kuzomea "hilo dingi limejambaaa" Dingi si akaanza kumkimbiza ili amtandike bakora. Ee bwanaee! dingi kajikwaa, kapiga mweleka, chini chaliiiii. Madenge huyo anasepa taratibu huku anacheka.
 
Naichukia nyinyiemu kwa moyo wagu wote, kwanguvu zangu zote na kwa akili zangu zote!
 
Back
Top Bottom