Asante mh. Mbowe kwa kuliona hili,huu mkoa umefanywa shamba la bibi.

Mbowe: Wananchi lazima wanufaike na Mlima K’njaro

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema Mlima Kilimanjaro hauna budi kuwaletea manufaa wananchi wa mkoa wa Kilimanajro ambao wanauzunguka mlima huo badala ya mapato yanayopatikana kuwanufaisha watu wengine.

Mbowe alisema Mlima Kilimanjaro umekuwa na mapato makubwa ambapo kwa mwaka 2010/11 zilipatikana sh bilioni 88, huku kukiwa hakuna kiasi chochote kile kilichorejeshwa kwa wananchi wa mkoa wa Kilimanajaro.

Mbowe alitoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa kampeni za mgombea udiwani wa kata ya Nanjara Rea, jimbo la Rombo, na kumnadi mgombe udiwani kupitia CHADEMA, Frank Salakana, ambapo maelfu ya wananchi walijitokeza.

Kampeni hizo zilihudhuriwa na wabunge mbalimbali akiwemo Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini, Suzan Lyimo, Lucy Owenya, Meya wa Manispaa ya Moshi Japhary Michael, madiwani na mkurugenzi wa masuala ya Bunge wa CHADEMA, John Mrema.

Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, alisema wananchi wanaozunguka mlima huo wana haki ya kufaidi matunda yanayotokana na mlima huo, kwani hata mlima huo ukiwaka moto wananchi hao wanakuwa wa kwanza kuzima.

“Serikali ya CCM haina huruma; mlima huo unazunguka maeneo kama Marangu, Mwika, Kilema, Rombo na Machame ambayo yako wilaya ya Hai na Siha. Ukiwauliza wananchi wa maeneo haya kama kuna fedha zozote zilikwishawahi kurudishwa kwa ajili ya kuwasaidia, watakuambia hakuna, zimeenda Dar es Salaam kuliwa na mafisadi,” alisema Mbowe.

Alisema chama hicho tayari kilikwishakutana wabunge wa mkoa wa Kilimanajaro kujadili jinsi ya kuwatetea wananchi wanaozunguka mlima huo huku akisema hata kama ikishindikana wananchi wakiipa nchi CHADEMA lazima wananchi wanaozunguka mlima huo wanufaike.

Katika hatua nyingine, Mbowe alisema chama hicho kimejipanga kuhakikisha kuwa kati ya kata 29 ambazo zina kinyang’anyiro cha udiwani lazima kata 20 ziende CHADEMA, Nanjararea ikiwa mojawapo.

Alisema safari ya kudai ukombozi wa nchi ina changamoto nyingi ambazo chama hicho kimekuwa kikikumbana nazo kwa kupambana na dola, polisi ambao wamekuwa wakiwapiga mabomu na risasi huku hata wengine wakipoteza maisha.

Hata hivyo Mbowe alikemea vikali kitendo kilichofanywa na Jeshi la Polisi kuwakamata vijana ambao walikuwa waje kwenye mkutano huo wa CHADEMA kwa kuwafungulia mashtaka ya kudai rushwa na kusema polisi wako kwa ajili ya kulinda usalama wa raia wasiruhusu kutumika na CCM.

Kwa upande wake, mgombea udiwani, Frank Salakana, aliwaomba wananchi wa kata hiyo kumchagua ili kuwawakilisha vema kwenye vikao mbalimbali vinavyohusu maendeleo ya wananchi pamoja na kushirikiana na mbunge wa jimbo hilo kuwaletea maendeleo.

Sikubaliani na Mbowe kwa hili:-

1. Hakuna watu ambao ni beneficiaries kama watu wa kilimanjaro wa utalii kwa ujumla Tanzania achilia mbali mlima klm. Akiwemo yeye mwenyewe Mbowe. Ni ukanda wa Kaskazini zaidi ambapo uwekezaji wa utalii upo kwenye mikono ya watz ukifananisha na maeneo mengine. This is too obvious to be proved.

2. Multiplier economic effect ya Mlima kilimanjaro na hasa value chain is far higher than any other tourism resource in Tz, labda kama Mbowe anatumia kama political tool kuwin audience yake thats something else. Soma study ya Tracing Tourism Dollar.
Tracing the tourism dollar in Northern Tanzania - ODI Project - Our work - Overseas Development Institute (ODI)
2.Mbowe anatakiwa aelewa kwamba Mlima Kilimanjaro ni urithi wa dunia na Tanzania tumebahatika kuwa custodians tu for the coming generations and for our current use. Na that is National icon.

This is too low for him, and can be easily mis-interpreted at his detriment. It will be rational if he will be addressing his public while he is well informed.
 
Tangu aanze kuzunguka mikoa ya Tanzania Kilimanjaro pekee ndo ameona kivutio ambacho kinafaa kuwanufaisha wananchi wa eneo hilo? mbona sijawahi kusikia hayo kuhusu ziwa etu kule mara? Mbona sijawahi kusikia hilo kuhusu madini ya shinyanga, Mwanza, Mara na kwingineko?
 
Na haya ndiyo mawazo ya MBOWE, NASARI NA LEMA siku zote, basi tu SLAA, ZITTO, MNYIKA na wengine wanafikiri wana watu pale CDM. Lazima tu hawa jamaa watalifikisha taifa huko wanakofikiria kwa vile tayari wameshawateka walio wengi kikakili.
 
Mimi CDM lakini hapo Mbowe amechemka! rasilimali ziwanufaishe watanzania wote bila kujali ukanda au sehemu inayotoka rasilimali hizo.Next time asirudie ujinga huo.Slaa for presidency 2015.

Wote wapi sasa kama waliopo eneo husika hawajwahi pokea chochote tangu jamhuri ya muungano wa Tanzania iasisiwe? Wote= Watanzania-Wachaga? hii equation si logically true.

Wenyeje hunufaika kwanza ,halfu kisi cha serikali kuu huenda kwa jaili ya majimbo yaliyoshindwa jikimu na kuchangia Serikali kuu.Hapo ndipo utaona majimbo yanavyonoga.yale majimbo yasiyo na rasilimali kubwa basi watatumia vyem akidogo walizo nazo huku wakijtahidi kuuza skills na services nyingine kama vyuo vikuu, utalii wa ndani na nje, na hudumua zitumiazo rasilimali wanunuazo kutoka majimbo mengine.kwa wale akina nanihii wachezao ngoma kila mwaka basi wataishia kupewa misaada na serikali kuu.
 
Tanzania sio maskini chama tawala kimevuruga kila kitu ama kwa makusudi au kwa manufaa ya chama .kunani pale tanga vile viwanda iko wapi ,moshi kahawa iko kwenye hali gani sasa hivi ,tulikuwa tunahamasishana miche bora imefika tukapande ,leo wananchi wanafyeka kahawa ile ile kwa mikono yao wenyewe ,korosho kule kusini eti zimeibwa godown mali ya wakulima .wapi tumbaku ,wapi pareto .hii ndio CCM yetu .ni watu tupo nao waliotufikisha hapa tulipo,na wapo wanataka waendelee kutuaminisha na kazi nzuri waliyofanya.hakika dhambi waliyofanya dhidi ya wananchi wanyonge haitafutika katika mikono yao
 
kama ungejua upeo wako wewe ndo janga kabisa! kama hiki kinachozungumzwa leo kingekuwa kinafanyika tusingekuwa tunazungumzia watu wa lindi na mtwara kuanza kuona lami miaka hii, tena nakuhakikishia hii sera haipingiki na inatumika nchi nyingi zilizoendelea, hapa kinachofanya iwezekane wengine kukubali kuminywa ni elimu na woga lakini kadri watu wanavyoanza kuelimika watu watadai zaidi na watapewa zaidi, na hakutakuwa na mgawanyiko kwa sabbu hakuna mkoa usio na raslimali na kama hakuna au ni kidogo sera inaelekeza kupewa suport kutoka serikali kuu ili kuweka uwiano wa kimaendeleo, nakuhakikishia hili halizuiliki, wakati huo ndo tutajua kati ya wewe na huyo unayemwita kilaza nani ana kipaji cha kuzaliwa cha ukilaza!

Haueleweki unazungumzia nini,ni maono ya elimu au kipaji?utaishia kuwa dodoki la Mbowe kwa kuwa hujitambui.
 
Na haya ndiyo mawazo ya MBOWE, NASARI NA LEMA siku zote, basi tu SLAA, ZITTO, MNYIKA na wengine wanafikiri wana watu pale CDM. Lazima tu hawa jamaa watalifikisha taifa huko wanakofikiria kwa vile tayari wameshawateka walio wengi kikakili.

Alikuwa akiongea kama Mbunge wa eneo ambalo pia linaguswa na tatizo km la wabunge wengine walikiwepo eneo alilokuwa kaihutubia.pale asingeweza ongelea shinyanga kwa diwani ambaye mipaka yake inajulikana.Common problem ya waliohudhuria na walengwa ni mapato ya mlima.
 
Tangu aanze kuzunguka mikoa ya Tanzania Kilimanjaro pekee ndo ameona kivutio ambacho kinafaa kuwanufaisha wananchi wa eneo hilo? mbona sijawahi kusikia hayo kuhusu ziwa etu kule mara? Mbona sijawahi kusikia hilo kuhusu madini ya shinyanga, Mwanza, Mara na kwingineko?

Alikuwa akiongea kama Mbunge wa eneo mabalo pia linagushwa na tatizo km la wabunge wengine likiwepo eneo alilokuwa kaihutubia.pale asingeweza ongelea shinyanga kwa diwani ambaye mipaka yake inajulikana.Common problem wa waliohudhuria na walengwa ni mapato ya mlima.
 
Sikubaliani na Mbowe kwa hili:-

1. Hakuna watu ambao ni beneficiaries kama watu wa kilimanjaro wa utalii kwa ujumla Tanzania achilia mbali mlima klm. Akiwemo yeye mwenyewe Mbowe. Ni ukanda wa Kaskazini zaidi ambapo uwekezaji wa utalii upo kwenye mikono ya watz ukifananisha na maeneo mengine. This is too obvious to be proved.

2. Multiplier economic effect ya Mlima kilimanjaro na hasa value chain is far higher than any other tourism resource in Tz, labda kama Mbowe anatumia kama political tool kuwin audience yake thats something else. Soma study ya Tracing Tourism Dollar.
Tracing the tourism dollar in Northern Tanzania - ODI Project - Our work - Overseas Development Institute (ODI)
2.Mbowe anatakiwa aelewa kwamba Mlima Kilimanjaro ni urithi wa dunia na Tanzania tumebahatika kuwa custodians tu for the coming generations and for our current use. Na that is National icon.

This is too low for him, and can be easily mis-interpreted at his detriment. It will be rational if he will be addressing his public while he is well informed.

Watu wa kaskazini kujituma hakuaminishi hawastahili pewa share yao ya kodi,mutu mukubwa?Analysis yako ni kichekesho.Kwani hao wa Selous na sehemu nyingine za nchi ikiwepo Zanzibar walipewa ban?

Kwa taaarifa yako kaskazini wamejituma sana ,huku wakishirikiana na wageni kwa mambo mengi.hata kilimo na mifugo.Serikali ya magamba ni kuchukua hela tuu, na kipinid ch maonyesho muhimu basi hukimbiia chkua sample za watu kuzionyesha kama za wizara husika.Kikwete mwenyewe baada ya kwenda kaskazini sasa hivi hachoki kwenda jifunza na si naye kuwa mdau.

Huu ni ushihidi tuu kwamba someone has to work hard to kill a chaga.Pamoja na kwamba serikali imekuwa ikiweka kapuni hela na kuzipeleka kwa watu wengine wakipepo wapemba na wazanibar.Bado wachaga walijenga njia mbadala za kunufaika na huu mlima.Hembu nikuulize?mwanao akijtahidi tengeneza hela wakati wengine wakiponda raha kw akumeze ana uvivu utamnyima urithi wake?
 
Una fikra mgando! majority tunataka changes lakini CDM au viongozi wake wakikosea lazima tuseme ukweli! hakuna kiongozi malaika! Inaonyesha unamjibia mwanaume mwenzako! wewe ndio unavurugwa.

Mgomba haufanani na gimbi,jitaidi kumuelewa mtu anachozungumza.

Kama watu waishio karibu na migodi huwa wanapata miradi kutoka kwa wawekezaji. Je ni dhambi kwa ndugu Mbowe kutaka mlima uwanufaishe wananchi wanaouzunguka mlima huo?

Je ni haki watu wa mikumi kutofaidika na mbuga yao?

Je ni haki kwa watu wa serengeti kutofaidika na serengeti yao?(sijasema serengeti laga).

Je ni haki watu wa Arusha kutonufaika na hifadhi yao ya Arusha.

Sio dhambi kwa warangi wa KONDOA kuweka njia dhabiti ya kunufaika na michoro ya mapangoni pale kwao.
 
Inaeleweka kuwa kila halmashauri zinapata percent fulani ya rasilimali zinazoizunguka! Mbowe alitakiwa aseme tutunge sheria/kanuni ya kuongeza hizo percentage kwa halmashauri zote nchini.Ameacha loop hole ambayo itatumiwa na magamba katika propaganda zao za ukabila,ukanda,uchaga.cha msingi tuwe makini na kauli zetu.2015 ndio kiama cha CCM.
 
Sikubaliani na Mbowe kwa hili:-

1. Hakuna watu ambao ni beneficiaries kama watu wa kilimanjaro wa utalii kwa ujumla Tanzania achilia mbali mlima klm. Akiwemo yeye mwenyewe Mbowe. Ni ukanda wa Kaskazini zaidi ambapo uwekezaji wa utalii upo kwenye mikono ya watz ukifananisha na maeneo mengine. This is too obvious to be proved.

2. Multiplier economic effect ya Mlima kilimanjaro na hasa value chain is far higher than any other tourism resource in Tz, labda kama Mbowe anatumia kama political tool kuwin audience yake thats something else. Soma study ya Tracing Tourism Dollar.
Tracing the tourism dollar in Northern Tanzania - ODI Project - Our work - Overseas Development Institute (ODI)
2.Mbowe anatakiwa aelewa kwamba Mlima Kilimanjaro ni urithi wa dunia na Tanzania tumebahatika kuwa custodians tu for the coming generations and for our current use. Na that is National icon.

This is too low for him, and can be easily mis-interpreted at his detriment. It will be rational if he will be addressing his public while he is well informed.

*Mkuu naona unataka kufanya upotoshaji mkubwa sana hapa.

Swali ni Wananchi wanaozunguka mlima Kilimanjaro wanafaidika vipi na mapato ambayo serikali inayapata kutoka kwenye mlima huo?

*Suala la kufanya biashara ya kupandisha watalii mlimani, mtu yoyote anaweza kufanya pasipo kujali anaishi mahali gani ndani au nje ya nchi kikubwa una mtaji.
Na kwa taarifa yako sehemu kubwa ya makampuni ya utalii ni kutoka kenya.

*Watu wanaoishi kuzunguka mlima(Natives) hawa ndio wanaozungumziwa na Mbowe na ndio wanaoutunza mlima hivyo ni lazima uwatazame kwa makini sana.

*Suala hili liko duniani kote na linapaswa kuwa kwa watanzania wote wanaozungukwa na rasilimali asilia.

*Kusema mlima Kilimanjaro ni urithi wa dunia nafikiri huelewi maana yake nini,
kama ni urithi wa dunia kama unavyofikiri, je mapato ambayo serikali ya Tanzania inayopata kutoka kwenye mlima huo ni kiasi gani nchi zingine tunawagawia?
 
Mimi CDM lakini hapo Mbowe amechemka! rasilimali ziwanufaishe watanzania wote bila kujali ukanda au sehemu inayotoka rasilimali hizo.Next time asirudie ujinga huo.Slaa for presidency 2015.

Msiyaangalie Haya mambo katika Jicho lenye ukungu kiasi hicho na bado mnajiita Great Thinker. Jiulizeni Je ni sahihi KWA wananchi wanaouzunguka mlima Kilimanjaro kukosa Huduma muhimu za kijamii Kama shule, afya etc huko mlima waliokuwa nao miaka nenda rudi unaingiza pesa nyingi. Concept hii ni sawasawa na walio na vizimba kwenye masoko wanaotoa ushuru wa kuuza bidhaa zao pale lakini wanakosa Huduma muhimu za choo, vile vile mazingira yanaowazunguka yakiwa machafu hayatamaniki. Je na hao wasiombe japo kiasi fulani cha ushuru wanaolipa ubakie KWA ajili ya kuboresha mazingira ya soko KWA kuogopa wataitwa WABAGUZI?
 
Inaeleweka kuwa kila halmashauri zinapata percent fulani ya rasilimali zinazoizunguka! Mbowe alitakiwa aseme tutunge sheria/kanuni ya kuongeza hizo percentage kwa halmashauri zote nchini.Ameacha loop hole ambayo itatumiwa na magamba katika propaganda zao za ukabila,ukanda,uchaga.cha msingi tuwe makini na kauli zetu.2015 ndio kiama cha CCM.

Salute mkuu na washaanza hapa kupotosha watu KWA kisingizio cha ukanda na ukabila. LKN PROPAGANDA ZINA MWISHO WAKE UKWELI UTAJULIKANA TU
 
Hata kupanda mlima Kilimanjaro kuna tofauti kati ya mgeni toka nje na Mtanzania hapa huyu kilaza anazungumzia mapato,vile vile kama sera ya taifa Lindi ni miongoni mwa mikoa iliyosahaulika kimaendeleo naupendeleo na hatimae serikali ya awamu ya nne kuamua kuipa kipaumbele na mikoa mengine kama Singida,Kigoma,Rukwa,Tabora n.k.. Huyu mbaguzi akutoa kauli hii kwa bahati mbaya anamaanisha kilichotoka mdomoni kwake ndio maana mtanzania yeyote mwenye upeo,mzalendo kwa nchi yake na mwenye kuamini katika umoja na mshikano wa taifa hawezi kuvumilia kauli kama hizi.Shame on u Mr. DJ!!

ukstaajabu ya musa utayaona ya filauni.mboe yuko sahh kwa kauli yake na huo ndo ukweli.ondoa fikra mgando we mtz unaaibisha taifa kwa kukataa ukweli
 
Mgomba haufanani na gimbi,jitaidi kumuelewa mtu anachozungumza.

Kama watu waishio karibu na migodi huwa wanapata miradi kutoka kwa wawekezaji. Je ni dhambi kwa ndugu Mbowe kutaka mlima uwanufaishe wananchi wanaouzunguka mlima huo?

Je ni haki watu wa mikumi kutofaidika na mbuga yao?

Je ni haki kwa watu wa serengeti kutofaidika na serengeti yao?(sijasema serengeti laga).

Je ni haki watu wa Arusha kutonufaika na hifadhi yao ya Arusha.

Sio dhambi kwa warangi wa KONDOA kuweka njia dhabiti ya kunufaika na michoro ya mapangoni pale kwao.

Atajulia api huyu,kama hajui watu wame sacrifise kiasi gani hili hu mlima ubaki kama ulivyo?wamesacrifice kiasi gani ili mamabo ya kitaifa yabaki,na mara nyingine huto ahela mifukoni kutunza mazingira.yeye anadhani wakifaidika mgao wake huko alipo utapungua.

Mito ya Kilimanyaro ni misafi sana, watu wana sheria ndogondogo za kuzia uharibifu wa mazingira, wanajitahizi zuia wezi wasiwaibie wageni, wanajitahidi sana zima moto unapotokea, wanajinyima hata pale wanapoona kuwa wanahitaji kuni,Pia ni urithi halali wa wazee wao waliokujwa anzisha kolini chini ya huo mlima.
 
huyo anajulikana na ndio maana mimi huwa simshangai,kule mtu mwenye kuku watano ndio tajiri wao. mtu mwenye korosho za kuuza kilo kumi ndio millionaire wao.halafu utajiri utoke IRINGA ukawatajirishe wakwere.

Halafu utajiri huu uzidi wafanya wavivu.Kuna project ya ujenzi ilikuwa ikifanyika bagamoyo, contractor alikuwa akiwalipa vibarua kwa wiki na waliwapa vijana wa bagamoyo kipaumbele.Siku alipowalipa mara ya kwanza alishangaa kitu.Vijana walikuja site wamevaa Kanzu wasafi.Wakati yeye alitegemea wangekuja fanya fanya kazi ili kuongeza akiba.Alipowaliza wakamwambia kuwa hawajisikii kufanya kazi.

Akaenda leta watu office ya Kilimanjaro na Mwanza,ili kuhakikisha project inaisha katika muda na isigeuke kuwa liability, kazi ikaanza, siku chache walipomaliza hela wakarudi tena huku wakilalama kuwa kazi yao imepewa wa kuja na huo si uungwana. Kwa hawa vichwa maji hawakuona pa kumshukuru huyu mkandarasi.

Na hili ndilo limekuwa tatizo kwa Zanzibar miaka yote hawawezi appreciate vitu kwa vile wanaviona kam too obvious and their right.
 
Back
Top Bottom