Asante Kikwete Umetufikisha Ulipokusudia

Raisi gani hilo janga la kitaifa ? Mwl. Nyerere aliona mbali mwenyezi Mungu ailazemahala pema peponi amina!Enzi za uhai wake aliwahi kuwaambia washabiki wa KIKWETE kuwa kama wanampenda kwasababu ana sura nzuri basi wakanywe nae (chai!!!).
N:B Hilo neno chai iko in bracket!
 
na bado contena zima la mijambia lina kuja. ole wenu wakristo.

Hhabari wana Jf, japo mimi ni mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa,lakini huwa napatashida kukubali maoni ya baadhi ya wana jf juu ya mambo mazuri ya Jk.

Ikiwa wote wanao critisize serikali ya JK kuwa wana mapenzi mema na inchi hi naomba wanijibu swali moja tu,ni kiongozi ambaye alishafanya mambo mazuri kumridhisha kila mtanzania? Hata kama ni siasa ndio iwafanye muwe vipofu? Hamuoni Barabara? Hamuoni madaraja? Nani kamaliza mgogolo wa Zanzibar? Au mna agenda ya siri?
 
mkuu wakaya ni uamusho na hili ni tatizo numberi one aka Janga...mnapoteza muda kumjadili. Baba wa taifa aliliona hili mapemaa wakati anajadili nyufa za taifa na hatma ya uongozi wa nchi yetu, kwa wenye akili kama zangu - sasa yamewafika shingoni.
 
na bado contena zima la mijambia lina kuja. ole wenu wakristo.
dini ya kikristo haina majambia na dili ya kikrito haijui kulipiza kisasi - wewe na wajinga wenzako agizeni makontena ya visu as far as mtume wenu sheikh Mponda anavyowaagiza.

Mtume S.AW hakuwa na ujinga kama wenu.
 
Mhmmm sikutegemea kikwete huyu kweli hii ni hari mpya na nguvu mpya mungu ndiye hakimu wa haki machozi ya watanzania yangali viganjani kwako dunia haina khaki lakini kwa mungu ipo tukeshe tukiomba katika imani tutashinda.


Nayanda.
 
Uko sahihi. Ilikuwa anahojiwa na yule mwandishi nguli wa VOA Shaka Ssali wa Straight Talk Africa. JK alijibu "I have taken them (Tanzanians) from here to there"
 
Amri za mungu ni zilezile jamani waisilimu hakuna nabii aliyekuja akatengua ya musa jamani siyo sifa na si utakatifu huo na wala hamtapata hzo thawabu kwa mungu wetu

Nawapa amri mpya mpendane penye upendo na kusamehe ni rahisi nyinyi waisilaam kweli na mnaijua dini au wadandiaji?

Nayanda.
 
Mleta uzi acha uvivu wa kufikiri. Matatizo ndani ya serikali ya Kikwete yanachongwa ktk viwanda vya propaganda while the central grounds being to weaken J.K's government for their future political reference in defeating ccm. If that is the case issue to blame J.K then in which position do you fix your 'beloved-clean angel' Dr. Slaa in connection to his declaration that J.K govt won't get stability. Opposition politicians, for this have nohow to exclude themselves. Don't wonder one day to see doctor Slaa standing b4 the ICC!

Tunaongea mengine unaleta upuuzi wako kama ni kweli Dr. Slaa anahusika na matatizo yaliyopo ndani ya nchii hii niwazi kabisa serikali ni dhaifu inawezekanaje mtu asiyekuwa na madaraka wala jeshi amshinde mwenye majeshi yote hadi kuiingiza nchi kwenye migogoro ya dini? Mbona waisalamu siyo wageni Tanzania tumekaa miaka yote kila mtu na zake hakuna bughudha wala kuchomeana makanisa na kukojolea korani?
tafakari usikurupuke JK amezidi upole hakuna ubishi
 
Nahisi km nipo nchi ya jehanamu na 2016 kwangu ni mbali mno!........huyu dhaifu sijui anaondolewa lini vile
 
hhabari wana jf, japo mimi ni mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa,lakini huwa napatashida kukubali maoni ya baadhi ya wana jf juu ya mambo mazuri ya jk.

Ikiwa wote wanao critisize serikali ya jk kuwa wana mapenzi mema na inchi hi naomba wanijibu swali moja tu,ni kiongozi ambaye alishafanya mambo mazuri kumridhisha kila mtanzania? Hata kama ni siasa ndio iwafanye muwe vipofu? Hamuoni barabara? Hamuoni madaraja? Nani kamaliza mgogolo wa zanzibar? Au mna agenda ya siri?

mmmmh!
Mgogoro wa zanzibar kaumaliza au kauanzisha upya baada ya makubaliano ya suk-serikali ya umoja wa itaifa matokeo yake ni viundi vya uamsho,kuchoma makanisa,vituo vya polisi,ofisi za ccm na hata mauaji ya askari tena kwa kuchinjwa kwa mapanga- pata picha ya panga alilokabidhiwa juzi oman kama vile mapanga yaliyo znz hayatoshi zaid wnakwenda kumkuta ikulu washukuru jwtz walioona udhaifu wa jeshi la polisi wakaamua kuingilia kati leo hii ingekuwa c jwtz tungekuwa kama rwanda na burundi 1994:
Poleni watz wenzangu ndipo jk alikotaka kutufikisha
 
Mleta uzi acha uvivu wa kufikiri. Matatizo ndani ya serikali ya Kikwete yanachongwa ktk viwanda vya propaganda while the central grounds being to weaken J.K's government for their future political reference in defeating ccm. If that is the case issue to blame J.K then in which position do you fix your 'beloved-clean angel' Dr. Slaa in connection to his declaration that J.K govt won't get stability. Opposition politicians, for this have nohow to exclude themselves. Don't wonder one day to see doctor Slaa standing b4 the ICC!

Mvivu wa kufikiri ni nani? wewe au mleta hoja? Naona watu wanakataa kuwajibika kwa makosa wayafanyayo na kurusha blames kwa wengine. Wewe ni mmojawapo. Hamuwezi kukaa bila kuitaja CDM kwenye kila jambo. CDM inahusika nini na matatizo ya nchi yaliyopo? Hauoni failure ya waziwazi ya JK kwenye utawala wake? Rais asiye na value system! Asiyejua ni wakati gani wa kukemea, wakati gani wa kusafiri na kukaa nyumbani, asiye na mpango kazi hata wa wiki moja, anayeongozwa na matukio ya misiba, asiyejali chcochote kinachoendelea kwa watu wake; Ofisi yake inapohusishwa na mauaji ya raia naye anaitetea huku kukiwa na clear evidence? Rais anayeishi nje ya nchi kwa karibu nusu ya muda wake wa urais? Anayemwachilia mpaka mwanae ku-dictate terms za uongozi wa nchi yetu naye amekaa kimya....wewe naona una upungufu...hata kama ulitumwa, kawaambie wamekosea kukutuma.

Mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye
 
Mleta uzi acha uvivu wa kufikiri. Matatizo ndani ya serikali ya Kikwete yanachongwa ktk viwanda vya propaganda while the central grounds being to weaken J.K's government for their future political reference in defeating ccm. If that is the case issue to blame J.K then in which position do you fix your 'beloved-clean angel' Dr. Slaa in connection to his declaration that J.K govt won't get stability. Opposition politicians, for this have nohow to exclude themselves. Don't wonder one day to see doctor Slaa standing b4 th times e ICC!


Mkalimoto don't labour youe emotions so as to divert attention of Isango well analysed input. He has cited well all the occasions that have occured during the broad daylight and have been ignored by state machinery. Some even happended before remarks of Dr.Slaa. Using the latter's remarks so as justify the way the incumbent government is being run is to betray your ignorance. Of all examples that have been cited by Isango tell which one is archtected by Slaa. Hata kama una chuki zako na Slaa please call a spade a spade. Halafu Slaa si mshasema anaongoza chama cha Kikristu, sasa yeye na Shehe Ponda na Fareed wapi na wapi? Yeye na kuzabwa kibao kwa mzee Mwinyi wapi na wapi? Not every thread needs your input. If you not have anything tangible to contribute, the best option is to keep silent rather than exposing your prejudice and hatred.
 
Kwa mtazamo huu ulio nao wewe ndugu, Kweli hata mi nakwambia kama alivyokwambia huyo kiongozi mkubwa wa serikali. Kuhusu Waislam Hata Raisi Anhekuwa nani, sasa hivi wameshachoka na utaongea sanaaaa kamwe hautosikika kwa upande wa waislam. Labda uendelee kuyasemea hayo mengine ya siasa ndugu.
 
Back
Top Bottom