Asante Kikwete kwa Kununua Meli mbadala ya MV BUKOBA Iliyozama

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
KAGERA
MANISPAA YA BUKOBABUKOBA MJINICandidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
SLAA WILLIBROD PETER
CHADEMA
16,60450.16KIKWETE JAKAYA MRISHO
CCM
15,41046.56LIPUMBA IBRAHIM HARUNA
CUF
4491.36KUGA PETER MZIRAY
APPT - MAENDELEO
1170.35RUNGWE HASHIM SPUNDA
NCCR-MAGEUZI
140.04MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT
TLP
140.04DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA
UPDP
90.03 SPOILT VOTES 4821.46 TOTALS 33,099100
Yaani hata dalili za kununua meli nyingine hakuna wala sijaliona kwenye mpango wowote. Kama serikali imeshindwa kuwahudumia wazee 12 huko babati Arusha na badala yake kuwalisha wazee maharage mabovu na makande magumu wakati meno hawana ndo sasa utanunua meli mpya badala ya MV Bukoba?!!! angalieni matokeo hayo siku nyingine hupati kitu hapa Bukoba town ohoooooooo we tuchezeee tu sisi Watanzania.
 
Imetoka hiyo mkuu,hagombei tena
 
Ohoooooooooo tuchezee tu sisi watanzania.FAILURE,mumefeli wenyewe kwa kumchagua failure mwenzenu.failure
,failure,failure,failure,failure.
 
Fisadi ni Fisadi, Nguvu ya Umma inahitajika kuliokoa hili Taifa, Fisadi Kikwete ameshafikia mwisho wa kufikiria hana akili zaidi ya hapo. :coffee:
 
Huku bukoba wabunge wanatoka chama gani. Mbona sisi Dar Barabara za juu juu zimeshakamilika, huku CCM tupu.:msela: Hivyo Sihasa.
 
KAGERA
MANISPAA YA BUKOBABUKOBA MJINICandidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
SLAA WILLIBROD PETER
CHADEMA
16,60450.16KIKWETE JAKAYA MRISHO
CCM
15,41046.56LIPUMBA IBRAHIM HARUNA
CUF
4491.36KUGA PETER MZIRAY
APPT - MAENDELEO
1170.35RUNGWE HASHIM SPUNDA
NCCR-MAGEUZI
140.04MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT
TLP
140.04DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA
UPDP
90.03 SPOILT VOTES 4821.46 TOTALS 33,099100 ......

SLAA WILLIBROD PETER
CHADEMA
16,604 50.16 KIKWETE JAKAYA MRISHO
CCM
15,410 46.56 LIPUMBA IBRAHIM HARUNA
CUF
449 1.36 KUGA PETER MZIRAY
APPT - MAENDELEO
117 0.35 RUNGWE HASHIM SPUNDA
NCCR-MAGEUZI
14 0.04 MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT
TLP
14 0.04 DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA
UPDP
9 0.03

Ta Muganyizi,
Nimejaribu kurekebisha kidogo jedwali ili isomeke uzuri maana %age umeziunganisha na kura za wagombea.

Waitu mambo mazuri hayataki haraka, Rais amekuwa busy kidogo baada ya uchaguzi kwa sababu ya vujo za CDM, wakati huo huo alikuwa anafuatilia yanayojiri Tunisia.
Ile anajiweka sawa kuanza kutimiza ahadi ikiwemo ya meli yenu Egypt wakaanza vurugu na majukumu ya kumpata mshindi halali Ivory Coast yanamkabili. Vumilieni kidogo kwani mvumilivu hula mbivu.

By the way, yule mwekezaji ambaye ni mwanachama wa chama cha rais amezindua ndege inakwenda moja kwa moja mpaka pale Kashai kwa bei ndogo tu ya karibia nusu milioni.

Mpaoo!!!!!!!!!!
 
Duhh! Hata Kigoma sasa inamelemeta kupita Dubai. Nimeenda New York juzi nikaona majengo ya kizamani tu lakini Kigoma imeshabadilika sana. Wakongo wote wanafanya shoping Kigoma sasa - Kuna supermakert nyingi sana na zimejaza bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya Tanzania. Karibuni Kigoma - Dubai ya Afrika chini ya uongozi wa CCM na Jemedari Kanali J. K. Kiwete.
 
Miaka 50 ya uhuru bado hatuna umeme reliable, na asilimia zaidi ya Watz hawana access na umeme. Kwa nini?

Hilo la kuanza nalo, watanzania na wanaharakati tulishikie bango tudemand right ya kupata umeme reliable kwa watanzania wote. Tumechoka kukaa gizani, si enzi za ujima hizi.

Hili litazaa mengine yote. Hatua moja huzaa nyingine.
 
Duhh! Hata Kigoma sasa inamelemeta kupita Dubai. Nimeenda New York juzi nikaona majengo ya kizamani tu lakini Kigoma imeshabadilika sana. Wakongo wote wanafanya shoping Kigoma sasa - Kuna supermakert nyingi sana na zimejaza bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya Tanzania. Karibuni Kigoma - Dubai ya Afrika chini ya uongozi wa CCM na Jemedari Kanali J. K. Kiwete.

umenifurahisha sana Magafu, sio siri ahadi za JK zilikuwa ni za kufikirika zaidi ya uhalisia.
 
Hivi hii meli angenunua kwa pocket money yake, mshahara wake au ni kodi zetu?..., In short hii ni favour au ni huduma ambayo ingebidi awe ameshaifanya.
 
Wajinga ndio waliwao.

J.K atakuwa kiongozi bora tu ila usisahau mwaka 2015 atapendekezwa yeye ili akamilishe suala la katiba maana atakuwa anaweza saaaana. Hivyo atakuja na single nyingine. Hiyo ya meli itakuwa imeshakifu na hata mwenyewe!! Jiandae vema!!
 
Back
Top Bottom