SAWEBOY
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 241
- 173
Wapendwa Wana JF wenzangu,
Napenda nimshukuru sana aliyeanzisha mtandao wa Jf kwa sababu mtandao huu umekuwa kiini cha mafanikio kwa watu wengi humu ndani kwa nyanja zote kwa kutoa elimu mbali mbali na taarifa muhimu ikiwemo na matangazo ya kazi.
Binafsi kupitia JF niliona tangazo la kazi, nika-download.....nikajishauri....at the end nikasema....liwalo na liwe....NIKATUMA APPLICATION.....kutest zali. Mungu hamtupi mja wake.....hata kama huna god father....lakini akikupangia kupata unapata tu......ndivyo ilivyotokea kwangu. Nimepata kazi mpya....ambayo nahisi itaniletea mafanikio mema ukilinganisha na kazi ya awali.
USHAURI KWA WANA JF:
1.Tusikate tamaa kuomba kazi ipo siku mungu atakuona, ukiona kimya fahamu mungu ana kusudio fulani na wewe.
2. Pia pmaoja na kuapply kwa sifa ulizo nazo, ONGEZA MAOMBI kwa mungu ili akufanikishie maombi yako.
NAOMBENI USHAURI KWA HILI.
1. Kuna kazi ya serikali ambayo nilikua nafanya, hivyo yanipasa niache na kwenda hii kazi mpya. Je ni taratibu zipi wapendwa wana JF nizifuate ili mwajiri wangu asije nishtaki kwa kuacha kazi ghafla bila kutoa notice ya miezi mitatu kama sheria inavyotaka?
2. Je nikiondoka kwa kumwandikia barua rasmi ya kuacha kazi....anaweza nidai kuwa nimlipe(serikali) mshahara wa mwezi mmoja?
NB: Hiyo kazi niliyopata pia ni serikalini na sio private.
Naombeni msaada wenu wa mawazo wakuu.
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU WAKUU.