Asante Igunga na watanzania-Dk Slaa

" Umoja wetu ndio Msingi wetu". Excellent
Mimi si mshabiki wa Chadema. Ni mshabiki wa mawazo kwa sbb human beings can only be united by reason. Ninapenda kiongozi yeyote anayeamini kuwa umoja ndio silaha pekee ya wanyonge kujikomboa.
 
Hongera chadema kwa matokeo hayo, hata hivyo, elimu ya uraia inahitajika sana kwa watanzania na hasa wale wa vijijini
 
Nape ni mropokaji,Leo ktk redio ya moja iliyopo mjini Moshi(Kill fm)asubuhi Nape aliropoka na "kusema kuwa ccm imeshinda kihalali na kelele za Chadema ni za barabarani Kama hawaamini waende mahakamani"

Na alisema ahadi watakazozitekeleza ni zile zilizopo ktk ilani ya Chama cha mapinduzi na sio ahadi walizoahidi wakiwa majukwaani,pia ameiponda Chadema kuwa ahadi za Chadema ni za kutunga tu kichwani.
 
Haijarishi sh ngap imetumika huko, kwa kura walizopata CDM ni ushindi tosha kwn kulikua hakuna ngome yoyote pale, lakin ujumbe umefika kwa CCM kuwa mwisho wao umefika na sisi vijana tunaiunga mkono CDM Kwa moyo wote, we hope one day tutafika.
 
Haijarishi sh ngap imetumika huko, kwa kura walizopata CDM ni ushindi tosha kwn kulikua hakuna ngome yoyote pale, lakin ujumbe umefika kwa CCM kuwa mwisho wao umefika na sisi vijana tunaiunga mkono CDM Kwa moyo wote, we hope one day tutafika.

you can imagine ni kazi ya wiki 3 tu.
 
Dr.Slaa Rais wetu ajaye Mungu akubariki na akulinde dhidi ya magamba.Muitangaze CDM vijijini ili tufanikishe ukombozi wa nchi hii, hao ndiom wanaodanganyika kwa udini kuliko wa mijini.
 
Bravo dkt slaa kwani katoka na nini?.si cdm imetoka patupu.mnasema hawana elimu.je watu wa k'ndoni hawana elimu?.suala ni kwamba chama kijenge mahusiano mazuri na BAKWATA na sio kiburi na kuibeza.pia mkubali ccm ni nomaaaaa...mzeewa watu alirukaruka juu ya jukwaa wanaigunga wamemtoa nduki.haamin kilichotokea na nimeshangaa anaibukia FB.CCM OYEEEE NAJUA INAWAUMA ILA NDO HIVYO IPOTEZEENI.MASKINI SILAA HATA NA KAFUMU AMEMFUMUA.

huna hata aibu umeporomoka kutoka elfu 35 hadi elf 26 kura.Aibu iliyoje!
 
Afadhali leo umezinduka aisee jana hali ilikuwa mbaya mpaka ukazimia ! jikaze kiume hiyo ndio ccm na hukutegemea jamaa wanaweza kuwafanya vibaya kiasi hicho , mie nilijua tu huwezi kupambana na ccm wao ni jeshi kubwa na lenye rasilimali nyingi . Sasa inakuwaje mmebomoa benki kiasi cha kwamba tshs 1.345bn zimetumika igunga na hamkuapata kitu na chama ndio muflisi sasa

leo umelipwa sh ngapi? Tangu asubuhi unatoa roho hapa JF.
 
leo umelipwa sh ngapi? Tangu asubuhi unatoa roho hapa JF.

quick na geniusbrain hawako salama. Madaktari bingwa wa akili wakikaa nao vizuri mirembe itawahusu. Siku nzima unaposti thread zenye utata.
 
Mungu awape afya njema na hongereni makamanda kwa kazi nzuri huko Igunga tumeona matunda yake.
 
Big up Dr. Slaa kazi mliyofanya imeonekana we appreciate you hakuna kukata tamaa nguvu kutoa elimu iwe vijijini zaidi ukombozi u karibu sana
 
Pole sana Dr Slaa mbwembwe zako na Uongo wako Igunga umetoka patupu!
Hivi wewe umewahi kufikiri ndugu zako wote kama watoto, wazazi, shangazi, wajomba, wapwa, binamu, babu na bibi, marafiki zako, majirani na ndugu zao nk wanaishije na ukajiuliza kwann wanaishi hivo kisha ukajiuliza nini kifanyike? weka ushabiki na ukada wa vyama pembeni.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom