Asante Igunga na watanzania-Dk Slaa

Kumradhi, naunga mkono hoja ya kuwa ni vizuri mkaenda (CDM) phyiscally Igunga kuwashukuru wananchi kwa uungaji mkono. You made a very good start
 
Ushauri:

Naamini ni wananchi wachache sana wana acces internet, kwahiyo njia uliyotumia kutoa shukurani, ni nzuri ila nzuri sana kwakuwa salama zako hazitowafikia wananchi wengi.

Hivyo basi, nakushauri wewe na makamanda wengine mrudi Igunga kwenda kutoa shukurani.
 
Pole sana Dr Slaa mbwembwe zako na Uongo wako Igunga umetoka patupu!

Ameambulia patupu? 26464 against 23260 difference of 3224. Yaani nguvu zenu zote za kuwasumbua wastaafu wenu, helikopita 2, mawazili kibao, DCs, RCs mmeambulia kura chache hivi (3224). Shauli yenu. Na kwa mtaji huu ole wenu msitekeleze hizo ahadi zenu. Na mkitekeleza sifa pia zitakwend Chadema kwa sababu hamkufanya hivyo miaka yote wakati hakukua na upinzani. Chochote kitakachofanywa igunga kwa sasa sifa ni kwa Chadema tu.
 
Hongera Dr.!
Hongera CDM!
Tukumbuke kuwa faida ya kushindwa ni kujua wapi tuliteleza na kujirekebisha.
Hasara ya ushindi (waliojipa) wa CCM ni kuwa wanakabiliwa na kibarua cha kutimiza ahadi zao za uongo. CCM wakumbuke kuwa hawawezi kuwadanganya WanaIgunga na Watanzania WOTE X ZOTE. Mkutano 2015.
 
Afadhali leo umezinduka aisee jana hali ilikuwa mbaya mpaka ukazimia ! jikaze kiume hiyo ndio ccm na hukutegemea jamaa wanaweza kuwafanya vibaya kiasi hicho , mie nilijua tu huwezi kupambana na ccm wao ni jeshi kubwa na lenye rasilimali nyingi . Sasa inakuwaje mmebomoa benki kiasi cha kwamba tshs 1.345bn zimetumika igunga na hamkuapata kitu na chama ndio muflisi sasa

Akili zako ni kama wale wanaume wa kiiislamu wavaao chain, mikufu kiislamu ni haramu mwanamme kuvaa (muulize FaizaFox).
Dr. Slaa is obvious and sincere kwa kuwashukuru wana Igunga kwa kura walizoipa CDM! Are you blind or naive ndg? CDM wasn't known in Igunga before last two months, wamemwaga sera zao pamoja na ufinyu wa muda wakala sahani moja na nyie including your wife. Do you think you've a tangible reason to celebrate? Oh no, you still have many magambas to shed.
 
Bravo Dr. Slaa.
Ombi langu kwako:
Elekeza nguvu vijijini. Angalau kila kata kuwe na ofisi imara ya CDM. Basi, then they will be done!!!!!
Chuakachara: huu si wakati wa kumtuma Dr aende kijijini ni wakati wa kumsaidia Dr kwa kusambaza ukweli huu vijijini naamini hakuna asiye na ndugu kijijini kwa hiyo ni kazi ya wote wanaopenda mabadiliko
 
Hongereni sana kwa kazi kubwa mliyoifanya. Msisahau kwenda Igunga kuwashukuru wana Igunga kwa imani kubwa waliyoipa Chadema! Tuko pamoja!
 
Dr. Slaa nakukubali mkuu wangu, jua kabisa kuwa igunga wamekuchagua wewe na chama chetu, ila hawa waliozoea wizi wa kura wamebadili mwelekeo, siyo kitu wape heshima zao watu wa igunga kama kawaida, ipo siku mambo yatakuwa sawa sawa tu.

wewe huna lolote.unaandika kujipendekeza tu...huna dira wala mwelekeo.nani amekwambia tumeibiwa kura?fuatilia mambo ww.tunachopinga ni utaratibu mzima...
 
Bravo dkt slaa kwani katoka na nini?.si cdm imetoka patupu.mnasema hawana elimu.je watu wa k'ndoni hawana elimu?.suala ni kwamba chama kijenge mahusiano mazuri na BAKWATA na sio kiburi na kuibeza.pia mkubali ccm ni nomaaaaa...mzeewa watu alirukaruka juu ya jukwaa wanaigunga wamemtoa nduki.haamin kilichotokea na nimeshangaa anaibukia FB.CCM OYEEEE NAJUA INAWAUMA ILA NDO HIVYO IPOTEZEENI.MASKINI SILAA HATA NA KAFUMU AMEMFUMUA.


Ujinga na upumbavu ni vya bure hasa ukishakuwa mtumwa wa fikra
 
Ameambulia patupu? 26464 against 23260 difference of 3224. Yaani nguvu zenu zote za kuwasumbua wastaafu wenu, helikopita 2, mawazili kibao, DCs, RCs mmeambulia kura chache hivi (3224). Shauli yenu. Na kwa mtaji huu ole wenu msitekeleze hizo ahadi zenu. Na mkitekeleza sifa pia zitakwend Chadema kwa sababu hamkufanya hivyo miaka yote wakati hakukua na upinzani. Chochote kitakachofanywa igunga kwa sasa sifa ni kwa Chadema tu.

umeanza vizuri umemalizia pumba.
 
Afadhali leo umezinduka aisee jana hali ilikuwa mbaya mpaka ukazimia ! jikaze kiume hiyo ndio ccm na hukutegemea jamaa wanaweza kuwafanya vibaya kiasi hicho , mie nilijua tu huwezi kupambana na ccm wao ni jeshi kubwa na lenye rasilimali nyingi . Sasa inakuwaje mmebomoa benki kiasi cha kwamba tshs 1.345bn zimetumika igunga na hamkuapata kitu na chama ndio muflisi sasa
Nimejua kwanini mapinduzi ya wananchi kote DUNIANI damu humwagika. Hivi Mtu/watu wenye mawazo na msimamo kama wako kama sio kuwa "incinerated" mtaondolewaje ili kupisha maendeleo ya jamii?
 
Tupo pamoja DR Slaa,pesa za walipa kodi zinazotumiwa na CCM kuhonga wananchi kuwapa kura si muda watanzania watafunguka na kujua hizo ni kodi zao kwa hiyo watakuwa wanachukua pesa na kutowapigia kura.

Tuendelee kupambana na hizi dhuruma za mkoloni mweusi na si mda mrefu tutashinda vita hii,wao na watoto wao hawaonei huruma maskini wa Tanzania ambao hawana maji safi,lishe bora,shule nzuri na elimu bora,ndiyo mana wao na watoto wao wameshiba kodi za watanzania, ndiyo mana wanachangia upuuzi na kuandika maneno ya kejeri,wao wana pesa sisi tuna MUNGU CHADEMA, FREEDOM IS COMING, VIVA CHADEMA, PAMOJA FOR LIFE DR.
 
Yap yap yap yap Dr. wa ukweli sio ka wa baba riz aka pendapenda wa kupewa. Tutafanya hiyo kaz kwa moyo wetu wote mpaka tufike Caanan
 
tupo pamoja Katibu Dr. Slaa. Mwenendo wa chama si mbaya. TUNASONGA MBELE!
 
Back
Top Bottom