We ni mjinga Wa kiwango cha lami... Tanzania matatizo tele... Africa matatizo tele, Leo tumeamua kumumilika matatizo ya wazungu.. Hii ni zaidi ya umaamuma...Ni nani amekwambia kwamba Waingereza hawalalamiki? Tatizo lako akili zako zimeshikwa na Mzungu na huwezi kuona chochote nje ya Mzungu anachokwambia, Wazungu wengi sana tu wanaprotest corrupt system yao na ndiyo maana D:Trumo anasupport base kubwa, hata Ulaya kuna Wazungu wengi hawataki tena main stream political parties!
Mbona unang'ang'ania Wazungu badala ya kujikita kwenye hoja!!? Anyway, only an idiot won't understand that!!Ni wapi nime justify rigging? Kusema Mzungu anaiba kura ndiyo kujustify rigging? Na hapo ndipo tatizo lilipo akili zenu mmeshikiwa na Wazungu kwa kuwa Wazungu wanaiba kura haimanishi kwamba kila mtu anaiba, ni wao ndiyo waibaji kura wakubwa lkn kuna sehemu nyingi Dunia hii ambao kuna free and fair elections!
We ni mjinga Wa kiwango cha lami... Tanzania matatizo tele... Africa matatizo tele, Leo tumeamua kumumilika matatizo ya wazungu.. Hii ni zaidi ya umaamuma...
Mbona unang'ang'ania Wazungu badala ya kujikita kwenye hoja!!? Anyway, only an idiot won't understand that!!
Huyo Trump naye ni Mzungu............. Kile anachosema Trump siyo lazima kiwe kweli!! Trump ni just a poor spoiled Rich Boy like our own spoiled rich boys in Africa who think they can get anything or everything when they want it. When things do not go their way .... they do the Trump way!!
Mkuu kwanza unatakiwa kujua katiba zao kabla ya kuleta uzi hapa katika jamvi. Nikusaidie Waziri mkuu wa UK hachaguliwi kama unavyotaka kuwaaminisha watu, usifikirie UK wana system kama ya kwetu Tanzania, UK kiongozi wa Nchi siyo waziri mkuu bali ni Malkia. Hivyo chama kinachopata viti vingi Bungeni ndicho kinaongoza serikali na hiyo ndiyo Demoktasia yao. Kuhusu suala ya Teresa May yeye ni mbunge wa kuchaguliwa na wananchi hivyo alipigiwa kura na chama chake ndicho kilicho na wabunge wengi na chenye dhamana ya kuunda serikali na yeye kama kiongozi wa Conservative hivyo ana mamlaka ya kuwa Waziri mkuu akipenda ama anaweza kuitisha uchaguzi mkuu mwingine. Kwanini utumie gharama kubwa kuutisha uchaguzi wakati Katiba inakuruhusu kuwa waziri mkuu. Hapa JF naona wakati mwingine tunataka kutumia mifano isiyo hata na miguu ili kuthibitisha maoni yetu. Kwahili mkuu jaribu kulifanyia research maana halina ukweli wowote. Na kuhusu Trump kusema kura kaibiwa hiyo ni tapatapa ya mufa maji, kwanini hakusema wakati anaongoza kura za maoni???? kwanini aseme sasa? Ni sawa na Mrema mwaka 1995 alipoona ana watu wengi ktk kampeni alidhani atashinda ktk uchaguzi lakini alisahau kuwa wengi wanakwenda kushuhudia vitimbi na vituko vya kampeni.Chaguzi zote za Wazungu huwa zinaibiwa au kwa maana nyingine huwa zimeshapangwa na Rais au Kiongozi huwa tayari ameshateuliwa wanachofanya Wananchi ni kutimiza wajibu wao tu, lkn Wazungu wamekuwa wakizunguka Dunia nzima kuwaambia wengine kwamba chaguzi zao siyo free and fair!
Sasa mwaka huu D.Trump anawaumbua Wazungu, kwamba wao ndiyo waibaji kura wakubwa ukiangalia nchi ya Uingereza Waziri Mkuu wake ajulikanaye kama Tereza May hakuna aliyempigia kura lkn ndiyo kiongozi wa Uingereza, sasa demokrasia iko wapi hapo?
Huyo may amewekwa tu na maelite kuwaongoza Wananchi ambao hawajamchagua, najua Mwafrika utakuja hapa kumtetea Bwana ako Mzungu lkn ukweli ni kwamba huyo May hajachaguliwa na wananchi wa Uingereza bali amesimikwa madarakani!
Fikiria nchi ya Kiafrika iweke Raisi wa nchi bila ya uchaguzi halafu Raisi awekwaye kama alivyofanya May akatae kuitisha Uchaguzi watu wangeita ICC, lkn Mzungu kwa kuwa ni mnafiki na ametumia miaka zaidi ya 100 kumbrain wash Mwafrika kwamba yeye ni superior being basi Mwafrika huamini chochote afanyacho Mzungu!
Lkn ukweli ni ukwamba chaguzi zote Ulaya na USA huibiwa na Wananchi kamwe hawaamui nani awe Rais!
Sasa mwaka huu D.Trump anaianika live system ya Kimafia ya Kizungu na USA hapatatosha kwa maana Wazungu wameshachoka na wanaitaka nchi yao iliyoharibiwa na akina Obama, Clinton &Co.!
Siyo kumtetea mzungu jaribu kusoma katiba yao kabla hujaja kujiaibisha hapa kuandika kitu usichokijuaNuilijua tu mtakuja kumtetea Mzungu, vyovyote vile lkn ukweli unabakia kuwa huyo Bibi May hajachaguliwa na Mwananchi yoyote yule wa Uingereza bali amesimikwa na hiyo siyo Demokrasia kwani siyo chaguo la watu, kwani hata kama ikitokea kama ilivyotokea huko Uingereza basi Waziri Mkuu mpya huwa ni wa mpito na hupaswa kuitisha uchaguzi haraka iwezekanavyo lkn T.May amekataa kuitisha uchaguzi hivyo ataongoza hivyo mpaka mwisho ingawaje hajachaguliwa!
Kama ni swala la Katiba hata Nkuruzinza pia Katiba inampa uwezo wa kubadilisha Katiba kwa nini Wazungu wanamuwekea vikwazo?
Mkuu kwanza unatakiwa kujua katiba zao kabla ya kuleta uzi hapa katika jamvi. Nikusaidie Waziri mkuu wa UK hachaguliwi kama unavyotaka kuwaaminisha watu, usifikirie UK wana system kama ya kwetu Tanzania, UK kiongozi wa Nchi siyo waziri mkuu bali ni Malkia. Hivyo chama kinachopata viti vingi Bungeni ndicho kinaongoza serikali na hiyo ndiyo Demoktasia yao. Kuhusu suala ya Teresa May yeye ni mbunge wa kuchaguliwa na wananchi hivyo alipigiwa kura na chama chake ndicho kilicho na wabunge wengi na chenye dhamana ya kuunda serikali na yeye kama kiongozi wa Conservative hivyo ana mamlaka ya kuwa Waziri mkuu akipenda ama anaweza kuitisha uchaguzi mkuu mwingine. Kwanini utumie gharama kubwa kuutisha uchaguzi wakati Katiba inakuruhusu kuwa waziri mkuu. Hapa JF naona wakati mwingine tunataka kutumia mifano isiyo hata na miguu ili kuthibitisha maoni yetu. Kwahili mkuu jaribu kulifanyia research maana halina ukweli wowote. Na kuhusu Trump kusema kura kaibiwa hiyo ni tapatapa ya mufa maji, kwanini hakusema wakati anaongoza kura za maoni???? kwanini aseme sasa? Ni sawa na Mrema mwaka 1995 alipoona ana watu wengi ktk kampeni alidhani atashinda ktk uchaguzi lakini alisahau kuwa wengi wanakwenda kushuhudia vitimbi na vituko vya kampeni.
Zile zile akili za Trump ...............!!Hauna hoja!
Siyo kumtetea mzungu jaribu kusoma katiba yao kabla hujaja kujiaibisha hapa kuandika kitu usichokijua
Nkurunziza ana haki, kwasababu awamu ya kwanza aliteuliwa tu, kwa demokrasia amechaguliwa mara moja kwa iyo anatakiwa kugombea muhula wake mwingine ndo amalize, achen unafik hapaNuilijua tu mtakuja kumtetea Mzungu, vyovyote vile lkn ukweli unabakia kuwa huyo Bibi May hajachaguliwa na Mwananchi yoyote yule wa Uingereza bali amesimikwa na hiyo siyo Demokrasia kwani siyo chaguo la watu, kwani hata kama ikitokea kama ilivyotokea huko Uingereza basi Waziri Mkuu mpya huwa ni wa mpito na hupaswa kuitisha uchaguzi haraka iwezekanavyo lkn T.May amekataa kuitisha uchaguzi hivyo ataongoza hivyo mpaka mwisho ingawaje hajachaguliwa!
Kama ni swala la Katiba hata Nkuruzinza pia Katiba inampa uwezo wa kubadilisha Katiba kwa nini Wazungu wanamuwekea vikwazo?
Kwann unasema Mrema, kwann usiseme CHADEMA mwaka jana pia waliamin ivyo, kumbe wanakwenda kishangaa helkoptaMkuu kwanza unatakiwa kujua katiba zao kabla ya kuleta uzi hapa katika jamvi. Nikusaidie Waziri mkuu wa UK hachaguliwi kama unavyotaka kuwaaminisha watu, usifikirie UK wana system kama ya kwetu Tanzania, UK kiongozi wa Nchi siyo waziri mkuu bali ni Malkia. Hivyo chama kinachopata viti vingi Bungeni ndicho kinaongoza serikali na hiyo ndiyo Demoktasia yao. Kuhusu suala ya Teresa May yeye ni mbunge wa kuchaguliwa na wananchi hivyo alipigiwa kura na chama chake ndicho kilicho na wabunge wengi na chenye dhamana ya kuunda serikali na yeye kama kiongozi wa Conservative hivyo ana mamlaka ya kuwa Waziri mkuu akipenda ama anaweza kuitisha uchaguzi mkuu mwingine. Kwanini utumie gharama kubwa kuutisha uchaguzi wakati Katiba inakuruhusu kuwa waziri mkuu. Hapa JF naona wakati mwingine tunataka kutumia mifano isiyo hata na miguu ili kuthibitisha maoni yetu. Kwahili mkuu jaribu kulifanyia research maana halina ukweli wowote. Na kuhusu Trump kusema kura kaibiwa hiyo ni tapatapa ya mufa maji, kwanini hakusema wakati anaongoza kura za maoni???? kwanini aseme sasa? Ni sawa na Mrema mwaka 1995 alipoona ana watu wengi ktk kampeni alidhani atashinda ktk uchaguzi lakini alisahau kuwa wengi wanakwenda kushuhudia vitimbi na vituko vya kampeni.
Nimesema Mrema kwasababu nilishiriki ule uchaguzi lakini huu wa mwaka jana sikuwepo nyumbani.Kwann unasema Mrema, kwann usiseme CHADEMA mwaka jana pia waliamin ivyo, kumbe wanakwenda kishangaa helkopta
Ngoja nikusaidie hapa kukuwekea hii labda itakusaidia:Haya ni maneno ya Tereza May mwaka 2007 dhidi ya Waziri Mkuu mwingine ambaye hakuchaguliwa pia
,,So whenever Gordon Brown chooses to call a general election, we will be ready for him. He has no democratic mandate. He has a reputation tainted by his failures after a decade in office. And he has no new ideas. An early election? Bring it on,”
Sasa niambie ni kwa nini Tereza May alisema Gordon Brown has no democratic mandate?
Barbarosa jitahidi sana kufanya tafiti kabla hujabishana na watu maana magazeti hayatakusaidia ama siyo utabaki kuwa mkazi wa TANAPA wa rangi ya kijani.Hata wewe uko hapa tu kutetea Mzungu, ukweli unabakia kuwa Teraza May hajachaguliwa kidemokrasia na Wananchi wa Uingereza, bali amesimikwa!
Kwa kukusaidia ninakuwelea hapa maneno ya Tereza May wakati Waziri Mkuu mwingine wa Uingereza aitwaye Gordon Brown pia aliposimikwa madarakani bila ya uchaguzi, wakati huo Tereza May ailikuwa upinzani, haya ndiyo maneno ya Tereza May mwaka 2007,
,,So whenever Gordon Brown chooses to call a general election, we will be ready for him. He has no democratic mandate. He has a reputation tainted by his failures after a decade in office. And he has no new ideas. An early election? Bring it on,”
Sasa nakuuliza swali ni kwanini huyo Tereza May mwaka 2007 alisema Gordon has no democatric mandate?
Kura kuibwa kupo lakini nadhan hujaelewa vizuri alichokiongea au mwenyewe haelewi alichokiongea.issue ya kuiba kura ni tofauti na namna alivyoingia madarakan,kaingia kwa mujibu wa katiba yao baada ya chama chake kushinda uchaguzi wa kura maoni wabaki ndani EU au wajitoe.chama chake kilikuwa kinapigania kujitoa na kikashinda ivo kupelekea serikali ya chama kilichoshindwa kujiuzuru .Chaguzi zote za Wazungu huwa zinaibiwa au kwa maana nyingine huwa zimeshapangwa na Rais au Kiongozi huwa tayari ameshateuliwa wanachofanya Wananchi ni kutimiza wajibu wao tu, lkn Wazungu wamekuwa wakizunguka Dunia nzima kuwaambia wengine kwamba chaguzi zao siyo free and fair!
Sasa mwaka huu D.Trump anawaumbua Wazungu, kwamba wao ndiyo waibaji kura wakubwa ukiangalia nchi ya Uingereza Waziri Mkuu wake ajulikanaye kama Tereza May hakuna aliyempigia kura lkn ndiyo kiongozi wa Uingereza, sasa demokrasia iko wapi hapo?
Huyo may amewekwa tu na maelite kuwaongoza Wananchi ambao hawajamchagua, najua Mwafrika utakuja hapa kumtetea Bwana ako Mzungu lkn ukweli ni kwamba huyo May hajachaguliwa na wananchi wa Uingereza bali amesimikwa madarakani!
Fikiria nchi ya Kiafrika iweke Raisi wa nchi bila ya uchaguzi halafu Raisi awekwaye kama alivyofanya May akatae kuitisha Uchaguzi watu wangeita ICC, lkn Mzungu kwa kuwa ni mnafiki na ametumia miaka zaidi ya 100 kumbrain wash Mwafrika kwamba yeye ni superior being basi Mwafrika huamini chochote afanyacho Mzungu!
Lkn ukweli ni ukwamba chaguzi zote Ulaya na USA huibiwa na Wananchi kamwe hawaamui nani awe Rais!
Sasa mwaka huu D.Trump anaianika live system ya Kimafia ya Kizungu na USA hapatatosha kwa maana Wazungu wameshachoka na wanaitaka nchi yao iliyoharibiwa na akina Obama, Clinton &Co.!