Elections 2010 Asante BBC kutambua uwepo wetu JF

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Leo BBC imekuwa na mahojiano na mkuu wetu Maxence na ndugu yetu Zitto katika kipindi maalum kinachohusika na uchaguzi mkuu.

Hii ni heshima kwa JF kwamba inatambulika kwa mchango wake katika siasa za nchi yetu. Navihasa vyombo vingine vya habari vya nchi hii kutambua uwepo wetu na mchango wetu katika ujenzi wa nchi yetu.

Narudia asante sana BBC na asante sana Max na Zitto kwa kuitangaza JF.
 
hapa ofisini namsikiliza dr slaa mahojiano yake na clouds fm ..boss kapita ni kada wa ccm kaanza kunimind naleta SIASA OFISINI..Jamanii huyuu vp...MPAKA KIELEWEKEE..DR SLAA FOR PRESIDENT
 
BBC matangazo yao ya asubuhi naona huwa wanapendelea sana CCM, sijui watu wengine mmesikiaje lkn mwaka huu credibility yao naona iko matatani
 
BBC matangazo yao ya asubuhi naona huwa wanapendelea sana CCM, sijui watu wengine mmesikiaje lkn mwaka huu credibility yao naona iko matatani

I hate them...
Jana kwenye kipindi chao asubuhi waliniharibia siku yangu kwa kuweka uwezekano wa asilimia kubwa wa ccm kushinda...wako biased sana hawa, sijui Muhando anawachakachua?
 
Bado kidogo wakuu wetu hapa JF itawabida watafute namna ya kuanzisha redio station!
 
Sam pipo bwana!! Hivi CCM ikipewa asilimia kubwa kushinda imekuwa nongwa? Sasa kama kweli je? Itakuwaje?

Anyway, I think it is a healthy process this democracy. My only hope is that there won't arise a group of niggers (for lack of a better word - I hate that word!) amongst us and cause chaos.
 
Nimefarijika sana na airtime BBC waliowapa CHADEMA... it shows something, and probably TBC will learn from BBC this time. I am sure Tido is fully ashmed of himself for being used as a spoon, stirring, collecting, transporting but not tasting any sweetness in it
 
I hate them...
Jana kwenye kipindi chao asubuhi waliniharibia siku yangu kwa kuweka uwezekano wa asilimia kubwa wa ccm kushinda...wako biased sana hawa, sijui Muhando anawachakachua?

Mkuu usiumize kichwa, we are counting hours, viwe viwavyo mwaka huu tumeandika historia kwa kuwaonesha sisi si mabwege tena
 
A figment of Chadema's imagination - hao ni akina nani? Are they an official group, affiliated to who(m)? Come to think of it, I have never heard anything to do with them, to be honest.
 
Nilidhani ni mimi peke yangu ninayeona BBC wapo biased. Hata wafanyeje Watanzania hatudanganyiki tena, nimefurahi nimefanikiwa kumleta kundini Babu yangu. Tangu jana anaichulia chichiem kuliko anavyomchukia shetani!
 
BBC wako LIVE kwenye mtandao wa USTREAM. Unaweza kusikiliza matangazo yao moja kwa moja tokea Jijini Dar

[video]http://www.ustream.tv/channel/bbc-swahili[/video]
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom