Asali na ndimu

Discussion in 'JF Doctor' started by sugi, Mar 25, 2011.

 1. s

  sugi JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naomba msaada Great thinkers,je ni kweli kuwa ukichanganya asali na ndimu/limao inakuwa sumu kwa binadamu?je kuna ukweli wowote wa kisayansi(chemistry)?
   
 2. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  siyo kweli kabisa, mie binafsi nimekuwa nikitumia asali na limao/ndimu kwenye chai/maji ya moto kwa zaidi ya miaka sita sasa na sijawai kuwa na tatizo lolote.
   
 3. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,475
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii imani imekuwepo sana.Sijui ilitokea wapi
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,174
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 48
  Ni dawa nzuri ya kifua na kupendezesha ngozi sasa sijui inageuka sumu saa ngapi!
   
 5. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,827
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Imani imetokea kwa watu wanaosema kuwa mzinga wa nyuki ukiulembea ndimu, nyuki wanakuwa na ghadhabu sana. Hivi kweli umlembee hata kijiwe kidogo tu watakuwachia?. Wanaosema hivi wanadai pia unapochanganya asali na ndimu "reaction yake" inatoa mapovu mengi kwa hiyo ukitia tumboni tumbo litavimba. UONGO. Ukweli ni kuwa asali na ndimu/limau, mbali ya kuwa ni tamu sana, vilevile ni dawa nzuri ya kukohozi, pumu na maradhi yanayohusiana na pumzi.
   
 6. s

  sugi JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanks,walioniambia walizungumzia hasa hilo suala la reaction,na wakasema kuwa hiyo reaction inavuruga na kukatakata utumbo na kusababisha sudden death!
   
 7. s

  sugi JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Labda kwa kuwa unatumia chaini na majini,wanasema ukichanganya moja kwa moja,inaleta reaction ambayo inavuruga na kukata kata utumbo na kusababisha kifo cha ghafla
   
 8. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Wazungu wanatumia sana asali na ndimu, jaribu kugoogle uone kama kuna kesi yoyote iliyoripotiwa
   
 9. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,937
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waisraeli walikula vyakula vifuatavyo.
  1.Asali
  2.Nyama ya kuokwa
  3.Mikate isiyotiwa chachu
  4.Maziwa,Matunda yasiyopikwa,Mvinyo na Maji kutoka kwenye miamba
  Hivi vikiwa vyakula vyetu Magonjwa yatokanavyo na vyakula (kula ovyo ovyo) yataondoka hapa duniani.
   
 10. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,480
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tausi,
  Nadhani ni kukosa uelewa zaidi.Ukiangalia dawa za nyumbani ( home remedies) kwa ajili ya kukohoa na magonjwa ya koo wanashauri uchanganye asali na ndimu na hakuna popote utasikia inaleta au imewahi kuleta madhara.
   
 11. s

  sugi JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duuh,jamani duniani kuna mambo,maana aliyeniambia kuwa ukichanganya hivyo vi2 vi2 inakuwa sumu,kwa kweli alisema kwa comfidence ya ajabu na msisitizo sana hata nikaogopa sana,anyway i'll try to mix an see
   
 12. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 6,280
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 48
  Nimewahi kusikia pia...lakini aliyesema akasisitiza kuwa inategemea ni asali ya nyuki wa aina gani (wadogo au wakubwa). Nimesahau ni ya nyuki wepi hasa ndio inasadikika kuwa sumu kwa binaadamu endapo itachanganywa na asali.

  Mimi huwa nipo interested sana na hizi imani za zamani na kujaribu kuangalia busara/funzo/mantiki yake. Ukizifuatilia, nyingi ya imani hizi zina scientfic basis (au tuseme zinaelezeka kisanyansi) hata kama kwa nyakati hizi relevance yake imepungua au haipo kabisa kutokana na maendeleo.
   
 13. s

  sugi JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu,imani nyingi zina scientiffic base,mfano wanawake wajawazito kutokula mayai nk!
   
 14. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 313
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Hivi hamna anayejua contents/ingredients za asali na limao tuone vikichanganya vitatoa product gani na kwa kiasi gani.
   
 15. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,575
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asali na limau ni dawa zuri sana na pia husaidia umeng'enya chakula tumboni kwa hiyo dhana ya sumu haipo kaisa ni imani sizizo naukweli wowote
   
 16. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Mimi nimewahi kusikia ukila tango na asali ni sumu inayoua mara moja. Kuna mwingine amewahi kusikia hilo? Kuna ukweli wowote?
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 37,107
  Likes Received: 486
  Trophy Points: 83
  Dawa ya Kupunguza unene

  Kunywa juisi ya limau iliyochanganywa na asali glasi moja kila siku ili kuondoa tatizo hilo.
   
 18. Jayfour

  Jayfour JF-Expert Member

  #18
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tango na asali hata mimi nimewahi kusikia...
   
 19. N

  NYAGI DRY JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Wewewewe! Ucjaribu asee manake hiyo nisum zaid ya ddt utawapa shida ndugu yako na watoto wako!
   
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 37,107
  Likes Received: 486
  Trophy Points: 83
  wewe nani kakufundisha kuwa asali na ndimu kuwa ni sumu?mimi nikiumwa na Mafua huku niliko natumia ndimu pamoja na asali na maji ya uvuguvgu mbona sijakufa? kama kitu haujuwi bora uulize sio kusikia tu usizushe maneno tu kama hujuwi uliza.
   

Share This Page