Asali mbichi

Emma Lukosi

JF-Expert Member
Jul 22, 2009
929
147
Asali mbichi asilia inapatikana ya Nyuki wakubwa na wadogokuanzia lita moja hadi lita 1000. kwa mawasiliano zaidi.
call me on 0713338342
 
hiyo asali inatoka mkoa gani, nyuki wake ni wa msituni au nyuki wa kufugwa??
 
kwa nini inakuwa asali mbichi, haijawiva vizuri??? wakati wa kuila itabidi ipikwe au????
 
Sina hela ktk simu na nataka asali. Nkikubip na tiGO utanipigia tufanye bizinesi?
 
inapatikana kwa aina zote nyuki wakubwa(wakali) na nyuki wadogo(wapole).
 
Asali mbichi asilia inapatikana ya Nyuki wakubwa na wadogokuanzia lita moja hadi lita 1000. kwa mawasiliano zaidi.
call me on 0713338342
Join Date: Wed Jul 2009
Posts: 6
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
well noted
 
Asali mbichi asilia inapatikana ya Nyuki wakubwa na wadogokuanzia lita moja hadi lita 1000. kwa mawasiliano zaidi.
call me on 0713338342
hujaichanganya kweli wewe? Umeipata toka mikoa gani? Ukijibu kwa usahihi mikoa hiyo nitaamini kweli unayo ya ukweli otherwise ni changalamoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom