Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asali asali asali

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Maroune, Jul 17, 2012.

 1. M

  Maroune Senior Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ASALI ni dawa nzuri sana jamani, nauza asali nzuri na kwa bei nafuu, kwa yeyote anayehitaji naomba tuwasiliane wandugu
   
 2. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Mmmh hivi asali ni dawa tena? Inatibu nini?
  Au chakula?!
   
 3. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,066
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  Kitu cha wapi mkuu??..na ipi iliyochemshwa ama?..hebu funguka zaidi..au mpaka wakuPM?
   
 4. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,512
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 38
  asali toka wapi? bei gani? tuwasiliane vipi wasio jf je? uko wapi? mbichi? n yuki wadogo wakubwa?
   
 5. M

  Maroune Senior Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si ya kuchemshwa, ni ya tabora mkuu na nyngne ni ya bukoba, vpmo ni kuanzia nusu lita na lita moja, bei ni elfu tano kwa elfu kumi
   
Loading...
Similar Threads - Asali asali asali Forum Date
Asali Asali Mbichi Matangazo madogo Apr 1, 2016
TANGAZO: Nauza asali mbichi Matangazo madogo Apr 1, 2016
INAUZWA Asali asali asali original na bei chee sana. Matangazo madogo Mar 23, 2016
Nauza Asali Matangazo madogo Mar 18, 2016
Nauza asali mbichi Matangazo madogo Mar 9, 2016

Share This Page