Asalaam aleykum

kiungo

New Member
Jun 25, 2012
1
0
Salam kwa wana jf wote! Mi ni mgeni kama member ila nasoma sana thread za jf. Nimeona niwe member ili niwaze kusaidia hapa na pale kwa lengo la kujifunza! Naombeni mnipokee wadau! Hata mbuyu ulianza kama mchicha!
 
Sinabudi ya kuitikia ombi. Lakini nakunasihi bofya kwenye "Jamiiforums rules". Coz kuna kitu chaitwa BAN.
Ogopa hiyo kitu!!
 
Back
Top Bottom