Asalaam Aleikum

Testimony

Senior Member
Aug 3, 2011
112
20
Salamu nyote waungwana! nabisha hodi jamvini nami niwe mmoja wenu. sina shaka ntapokelewa kwa mikono miwili. Asanteni!
 
asanteni sana waungwana...nshakaribia insh'allah tukijaliwa tutashirikiana kikamilifu
 
waaleykum salaam! Karibu sana ! Hapa utayajua mengi ya dunia. Ila nakushauri kwanza ukafanyiwe oparesheni ya hasira. Yaa ni waondoe hasira gland.
 
Karibu xana na amani iwe pia nawe! Tel us y u decide to join jf and not other social networks lyk fb? Nyc weekend!
 
Salam zako zimenivutia saana....

Waleikum Salam.... Karibu saana Testimony....
 
Back
Top Bottom