Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
- Thread starter
- #21
Well, tuangalie uchumi wa nchi. Baada ya kupata "ukombozi" Tanzania ilishuka kiuchumi! In other words hakuweza hata ku-maintain level ile ile ya maendeleo. Uliza watu waliokuwa watu wazima miaka ya late 70s na early 80, enzi za migao! Kuna watu wanatetea na kudai kwa sababu ya vita na oil shocks za 70s. Lakini kabla ya hapo (60s-70s) kulifanyika nini?
Kenya ilituacha nyuma kwa sababu ya policies za huyu bwana! Watu waliopingana naye iliwabudu kukimbia nchi, mf Kambona. Wakati wa ukoloni Watz walipewa nafasi za kusoma kwenye shule nzuri na kujiendeleza. Pia kulikuwa na zile Commonwealth Scholarships ambazo wanafunzi waliweza kwenda kusoma bure katika nchi za Commonwealth.
Mashirika ya Umma mengi sasa ivi ni skeletons tu zimebaki. Reli, Umeme tumeshindwa kuendesha, nk! Miji tumeshindwa kuiendeleza.
For me, i believe people who were able to run the country were not given that opportunity.
Pia usisahau kwa kiasi kikubwa yeye ndio amechangia kufikia hali tuliyopo leo - serikali isiyokuwa na true separation of powers. Wananchi kuwa waoga na kutojua haki zao.
Lakini nampa heshima kwa kuweza kuleta Umoja!
Ivi Nyerere alikuwa na qualities gani za kumfanya a good leader? (Maana mimi sioni hata moja)
Nyerere kutaka kuunganisha nchi za Afrika mashariki na katika plan aliyokuwa nayo ya kuwa na population kubwa.Alijua intergration ndiyo njia nzuri ya kujitawala.
I do agree kwamba hatukuwa na intellectuals wengi,but alichukua initiatives kuhakikisha tunakuwa nao.Tatizo au weakness yake kubwa ni kutowaandaa watu na au kutoingiza ideas zake katika mioyo ya wale intellectuals.Hakutoa uhuru wa kutosha wa kuwa criticized
Azimio La Arusha ilikuwa ni Road map nzuri ya kujenga taifa lenye usawa,haki na taifa lenye kuwajibika.Hata hivyo Ideology ya Ujamaa siku zote ni lazima ikuletee elements za kidikteta,hata Nyerere naona alijitahidi sana kuepuka huo Mtego,ila bado as a leader hakufanya inspiration ya kutosha kwa followers wake.this dysfunctionality has affected the state itself. His government did not succeeded in establishing political and administrative systems capable of coping with the challenge posed by his policies in true spirit
Tawala nyingine zilizofuata ndiyo ilikuwa worse kabisa.Kwa sasa bado tunaweza,tuwe sasa na aggressive leaders who can inspire the mass,who can change the attitude and the mind set.Tuwe na taifa linaloamini katika sera na kuingia mioyoni kama imani za kidini.
Kwa kweli huwa nakuwa impressed na jinsi Lula Da Silva wa brazil alivyoweza ku-inspire wananchi wake na kugeauza lower clas more than 60 million kuwa katika Transition period ya kuingia katika middle class income.Historia ya Russia,kutumia only 70 years kuwa super power ni history ambayo haijawahi kutokea.