MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Dear Wana MMU,
Habari za siku kadhaa......nimewamiss sana wapendwa! Natumaini wote mu wa zima
Nimekuwa nikisikiliza Powerbreakfast ya Clouds kwa siku kadhaa sasa (Tangu issue ya Babu wa Loliondo). Kuna matangazo ambayo yamenigusa na kuamsha maswali kadhaa kichwani mwangu................kuhusu vigezo vinavyozingatiwa na wazazi wa Binti katika kupokea posa/mahari........... matangazo yao yanaportray kuwa huwa kuna vigezo ambavyo wazazi wa Binti huviangalia wakati wa kupokea posa/mahari ya binti yao.....kimoja wapo ni mali au uwezo wa kifedha (either kuwa na kazi nzuri au some prosperious future prospects ya Mwanaume au familia atokayo mwanaume anayedhamiria kumuoa binti yao).
Najiiuliza maswali kadhaa but makubwa kati ya hayo ni
1. Iki wapi nafasi ya Love doesnt ask way, love conquers all, love do not care about material things including money and wealth e.t.c na;
2. You as a parent with experience in marriage life.............would you let your daughter get married get married to a Man who does not have any prospect in future (in terms of education or careerwise) in the name of Love? Would you pokea mahari or posa in that matter kutoka kwa expected son-in-law ambaye hana mbelel (wala hategemei kuwa na mbele) wala nyuma simply because binti yako amefall??
Karibuni tujuzane......