ARV's ni hatari?

Yusuph Salehe

Member
Nov 12, 2010
58
1
WanaJF nisaidieni kwa hili, nimepita some where nimesikia kuwa ARV's zinaongeza hamu ya kufanya mapenzi je hili linaukweli wowote ndani yake?
 
labda kwa wanaozitumia watujuze.....na kama ndio.....what next
 
dawa yoyote ni hatari ikitumiwa vibaya lakin hlo la kuongeza hamu ya mapenzi halijatulia kabsa,sio kweli kama zinaongeza hamu ya mapenzi labda ni matokeo yasasa ya research,
na kama tutazama upande wa vigezo vya kumwazishia mtu dawa za ARV"S kwa umakini basi ARV ni salama,
 
On nutrition point of view, ARVs haziongezi, mtu anapozitumia weng huhama kwenye normal diet zao na kuanza kutumia balance diet, maziwa,matunda na uji (ulezi, soya, kunde, ) gud source ya protein. Ambayo husaidia ktk huo mfumo.
 
I guess you are a health care personnel, and probably a doctor (MD). Waelezee. U are absolutely correct!
Mtu akianza kupata afya yake nzuri kila kitu kinarudi katika hali yake ya kawaida. Sasa akianza kujisikia hamu ya kufanya tendo la ndoa ambalo hakuwa nalo wakati anaumwa (kitaalamu tunaita ANHEDONIA), nd'o inamaanisha ARV zinaongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa
??????
Ha, ha, haaaaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom