Arusha yarindima kwa risasi! Jambazi laua polisi

350x.jpg

illerevant
 
Pole kwa ndg wa marehemu.Askari eanyeni hima kwani hyo ndo kaz yenu na si kuwapga wananch mabom
 
polisi wetu wamezoea kupiga waandamanaji je ingetokea kama huko columbia majambazi wanakuja ful vifaru,mizinga,longgun,helcopta na briged nzima?
Tungewatumia wale waliokuwa wanafanya mazingaombwe kwenye uwanja wa taifa siku ya thr 9.12.2011 au hukuona walivyokuwa wana vunja tofali............
 
shule wapi wewe?

Great thinker,
Unadhani kujua english ndo kuelimika?

English: the language used in britain, the US, Australia and other countries, other example of languages are Nyaturu, chagga, digo and zanaki!

Education: process of being taught a particular subject theoritical and practical!

Nawasilisha!
 
Nimeongea na chanzo kutoka ndani ya polisi,ni kwamba aliyepigwa risasi ya bega ni OC:CID Faustine,na sasa yupo Hospital,askari mwingine ameuwawa baada ya kupigwa risasi ya shingoni,na jambazi kukimbia,hadi sasa jambazi hajapatikana

amepatikana huyu hapa.
 
Hawa polisi sijui kwanini hawajifunzi kuwa makini wanapoenda kufanya 'raid'. Mimi nakumbuka nilishawahi kumtishia polisi mmoja na bastola ya toy, yaani alitoka nduki huyo utasema mwanamke anakimbia wabakaji.

Baba zima limekalia uongo tu! Hii hadithi wasimulie wanaotaka kuanza Chekechea.!
 
Sijaelewa uhusiano wa kupiga risasi juu na kuua askari ukoje! Au alikua anashuka na parachute au?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom