Arusha yakabiliwa na upungufu wa SEMBE..........KWA SABABU YA MGAO

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Mgao wa umeme umekua mwiba kwa wakazi wa Arusha,kwani inasadikika kuwa bidhaa ya sembe imekuwa adimu kwa sababu ya kukatika umeme kwenye vinu vya kampuni inayohusika na ukoboaji wa MAHINDI.........Maeneo ambayo bidhaa hiyo inakosekana ni kama vile Ngarenaro,Unga Ltd........Sosi:redio One
 
Ukiniambia mgao wa mahindi na nchi ya kenya ntakuelewa
 
mkuu hiyo ni dhahiri kwa kuwa viwanda na hizo milling machine havina uzalishaji na haviwezwi kuendeshwa kwa generators.hii njaa tunaitengeneza wenyewe.hata dar wale wasagaji wadogo wa tandale hawana unga,tegemeo limebaki kwa bakhresa tu ambaye anaweza kupandisha bei maradufu wakati wowote
 
Back
Top Bottom