Elections 2010 Arusha ubunge bado uko wazi kwa batilda,lema na lyimo

Kamanda PakaJimmy huo ndio utafiti wangu usishangae sana Mama akiibuka ushindi hatujawatendea haki waTanzania wapinzani lazima wajue watabeba zigo la lawama Arusha ikiangukia tena CCM.

Hivi kuwafikia wapigakura maana yake ndiyo sasa watakuchagua?

Na unaziponda REDET na SYNOVATE angalau wao hata wanajua kuwa takwimu zinahitajika wewe uchambuzi wako umerindima kwa hisia tu.........

Pambanua wagombea husika wamewafikia wapigakura wangapi kwa maana ya idadi na lini kuwafikia wapigakura ndicho kigezo cha kuchaguliwa...............
 
Back
Top Bottom