Arusha Town wanavyo wasupport wana Arumeru kwenye kampeni

Si kweli napita haps stadium sa ivi kuna vijans wamevaa skafu za cdm nimetokea mianzini hiece zina bendera za cdm, nyingi tu au we unaishi wapi uko cheka un,gatwe nini arif.........umela Mbegu;3533702]Mie mbona niko Arusha wala ulichoelezea hapo hakipo ? au ndio umeamka usingizini mazeeee:lock1:[/QUOTE]
 
Chama cha siasa cha ukweli kinaendeshwa na wanachama wenyewe, kwa ada, michango na kujitoa kwa hali. Vinginevyo chama kinakuwa kimekula chaka
 
shamrashamra ni kubwa sana lkn hofu yangu kubwa ni jeee watapiga kura?maana vijana wengi hawana vitambulisho vya kura na wengine wako arumeru lkn walijiandikisha jimbo la arusha! Unajua kipindi kile watu walikuwa hawajawa na mwamko wa kisiasa kwa hivyo watu walijiandikisha sehemu yeyote ili mradi wapate kile kitambulisho!Mungu asaidie wale wenye vitambulisho wapate mwamko wa kweli wakapige kura.[/QUOTE
]
HUU NI UKWELI, NA SI IDADI NDOGO WALIOFANYA HIVYO
 
Hao ni washabiki sio wapiga kura . I feel sorry 4 u ndg zangu magwanda.

kwa maana hiyo wapiga kura wa ccm hawawezi kuonyesha hisia zao hadharani na kuomba waungwe mkono sio? wanawezaje kutetea kura zao zikitishiwa, mmesha gundulika, kusingizia kukubalika 'kumbe' na watu wasiojulikana wala kuthubutu kwa hiyari yao kusema wao ni wana ccm. Mna dalili zote za maiti ya chama.
 
Back
Top Bottom