Arusha residents plz read this

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
poleni na majukumu,
tulikuwa tunatamani sana kuwa na sehemu ambayo tunaweza tukaongea na kujadiliana kuhusu mambo ya mkoa wetu,hata kusaidiana katika shida na raha,leo nimefanikiwa kufungua group hapa kwenye JF kwani posts zetu nyingi na matangazo yetu mengi huwa yanafunikwa na watu wa nchi nzima ambao ni wengi mno kwenye general forums na nitafurahi kama mtaniunga mkono kwa kujiunga,nmnakaribishwa sana,naamini umoja ni nguvu,na pamoja tutafika.....group inaitwa "arusha dwellers" na inapatikana katika link ya arusha dwellers - JamiiForums | The Home of Great Thinkers ,ninawashukuruni nyote.siku njema
 
Back
Top Bottom