nashauri lema asifanye mkutano wowote pale NMC kwa sasa ari ya wananchi iko chini.kama unabisha utajikuta unapoteza washabiki wastaarabu kama vile wafanyakazi na wanafunzi wa vyuo badala yake utabakiwa na waendesha bodaboda ambao hawapigi kura.pumzika kwanza ili umalizane na kesi na upange mikakati ya maendeleo ya jimbo lako.
we hate ccm more than we hate chadema...........but it is frustrating to see the lack of brain power in Chadema too...................in ccm there is a glut of consumption curses...................wamevimbiwa lakini hawako tayari kuachia ngazi na ulaji......................shame upon their wicked souls.................but Chadema instead of seizing the moment and show it is the party ready to lead.........................it takes us back to demonstrations...........................when are we going to get back to work.......................................without sustainable productivity this country is heading to a civil war............................and nobody gains there..........................
Nimsaidie kujibu. Ni CCM.Unadhani nani anayechochea ugomvi huo?
Maneno mazito sana mkuu wangu.Tatizo hapa JF wapo wanaukumbi wameweka ushabiki mbele hawataki kuangalia hali halisi hakuna ubishi wananchi wengi hasa wafanyakazi wa kada mbali mbali wameanza kuhoji kama ilikuwa busara kumchagua mbunge Mheshimiwa Lema.Siasa za vurugu na magomvi yasiyoisha imekuwa sehemu ya utaratibu wa wakazi wa Arusha.
Mh Lema ananoa msumeno na Shoka!!!!! akimaliza Arusha itabadilika mapema sana na mtashangaa!! arusha sio sawa na Dodoma au Tabora kule kuna vitega Uchumi vya nguvu na vikipata meya mwadilifu akasaidiana na Mbunge vitamultiply mapato na hivyo kuliendeleza jiji kwa kasi.
politriks thats it sidhani kama lema anjiingiza kwenye haya malumbano na polisi kwa hiari yake hiki ndicho ambacho CCM wanakitaka
wakomae nao hawa jamaa mpaka kwenye hii extent na sidhani kama Lema anaamua tu kulumbana na hawa jamaa ila naamini polisi ndio wanaomuandama huyu muheshimiwa ili ashindwe hata kufocus na ndicho ccm inchawafanya hawa wapinzani kuwasumbua ili wasiwe focused
and fighting this battle needs someone with big heart and well skilled this is the situation the oppositions are in......
Kimsingi hali ya Arusha ni tete,na UTETE wake umesababishwa na serikali kutowajibika,na kwa makusudi kabisa kupuuzia malalamiko ya msingi,na kushindwa kuchukua uamuzi stahiki,kwa wakati stahiki,matokeo ya UHUNI wa serikali ndio haya yanayoonekana sasa,
Kuna kosa gani kwa Mbunge kutembea kwa mguu kwenye Jimbo lake?
Ngongo wewe unachangia kwa ushabiki na kwa chuki yako binafsi Juu ya CHADEMA na viongozi wake,hakuna kiongozi yeyote wala mwanachama yeyote anayemlipa yeyote ili aende Kisongo au mahakamani,utaratibu huo ni utamaduni wa ccm,kamwe si CHADEMA,
Alichokifanya Lema amekieleza kwa kiswahili rahisi kwenye waraka alioutoa,mwenye kutaka kuelewa ataelewa
Swala la siasa za vurugu Arusha,linasababishwa na polisi period.Nyote ni mashahidi tarehe 12 Jan 2011 wakati wa Kuwaaga mashujaa wetu waliuwawa na polisi pale NMC tulijilinda wenyewe na hakuna vurugu yoyote ilitokea.
Kimsingi hali ya Arusha inawezakuwa mbaya kama serikali itashindwa kuchukua maamuzi
"....his fellow tribesmen of Chagga....." This social network is for great thinkers. But I doubt your thinking faculty. May be your grey matter has turned into flesh!
Your thinking is divisive and very dangerous.
chaguzi za Arusha ni za kabila la wachaga tu...........angalia wabunge wote after nyerere in 1995 hadi leo .................angalia madiwani asilimia kubwa inatoka wapi................................facts sometimes can be very dangerous...........................because they expose the truth and only the truth can set us free..............
Yap! Too many words,bored!Mkuu Rutashubanyuma, you wrote so much and so many illusive things. Of all I liked one sensible phrase "that is how I feel what about you? " I believe you didn't do any investigation to jot down the conclusion about CHADEMA or any other opposition political party in Arusha municipality. Let's wait and see, the ballot box will tell when the moment comes.
Si kweli. Alimsimamisha mgombea umeya kinyume cha utaratibu, akaambiwa aondoke kwenye kikao akakataa, pale siyo bungeni kwa hiyo uki resist arrest una mashtaka ya kujibu.Una maana kwamba Lema ndiye mwenye kuendesha siasa za vurugu? Nani walioanza vurugu kama sio CCM, walipomkamata Lema na kumtoa kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Manispaa ya Arusha, wakati wa uchaguzi wa Meya, mwaka jana, ambapo meya huyo alichaguliwa na madiwani wa CHAMA KIMOJA TU, kinyume cha sheria? Au huna habari kwamba Lema alikamatwa na polisi na kuondolewa kwenye ukumbi huo kinyume cha sheria? Ukitaka kumkamata Mbunge akiwa kazini, unapaswa kupata kibali kutoka kwa Spika! Polisi hawakuwa na kibali. Je, angekuwa Mbunge wa CCM wangemkamta?
Rutashubanyuma kama wakazi wa Arusha unataka nani agombee?Naanza kupata wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri
wee rutashubanyuma, acha kujifagilia. hukumtuma lema hata kidogo, acha kujifanya mmojawapo wa wapenda maendeleo, haki, na utu wa mtu, we ni mpenda magamba na ufisadi tu, acha sisi tulomtuma kututetea tumpe sapoti. Wee endelea na magamba yako.
Una elimu gani mbona reasoning yako ndogo hivyo? The govt need to look for................................................Kwani hiyo serikali nadhani ulimaanisha CCM wameishika Arusha miaka mingapi na maendeleo yapoje?it's true you have thought a lot and some things look true but who are the majority of the people in arusha can they reason the way you reason?and if not chadema then what other party, cause all chadema has done in arusha is to show its power against ccm which also the way it has reacted is extremely silly, i believe chadema stands a greater chance than ccm, and people weigh apart from the rallies is there any development?and also it depends on the candidates as well because not all the people in ccm party are crooks so its not all about the party issue its about candidates as well so each party need serious people. this my view but im glad the fear that exist in tanzanian,people in arusha have shown that it can be overcomed by choosing chadema and the government wasting time fighting them but later giving in to chadema , if i could be the government i would accept the loss and try hard with the few i have to win back the trust of people for example our president could take a cheap popularity by firing the guy who called his citizens rats, then at least people in arusha could easily see the government is concerned,
the government need to look for every opportunity to take arusha back in 2015 but wisely.