Arusha: Operation zika CCM, jenga CHADEMA

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Nimeamua kuanzisha thread inayohusu kampeni ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilaya ya Arusha mjini inayo julikana kama "Oparesheni zika CCM jenga Chadema" ambayo mpaka sasa wameshafanya mikutano kwenye kata tatu kati ya kumi na tisa na siku ya leo watakuwa kata ya Daraja mbili. Pamoja na kukusanya kero mbalimbali zilizoko kwa wananchi pia Oparesheni hii nikujenga chama...Mikutano hii imekuwa na mahudhurio makubwa sana hii inaonyesha wananchi wa Arusha wanaimani kubwa sana na CHADEMA.

Tuendelee kujuzana kitakachokuwa kinatokea kwenye mzunguko wa kata zote 19.

View attachment 45110View attachment 45111View attachment 45112
Picha wakazi wa kata ya Kimandolu wakifatilia mkutano chadema
Kaloleni 1.jpg Kaloleni 2.jpg Kaloleni 4.jpg Kaloleni.jpg
Picha za mkutano wa kata ya Kaloleni wakisikiliza kwa umakini kabisa kamanda Godbless Lema.
========
Akizungumzia ahadi zake alisema pamoja na kubambikiwa kesi kila kukicha lakini yote ameweza kuya mudu yaaani kesi + majukumu ya kibunge
• Anasomesha watoto zadi ya 430
• Trekta 1 ambalo walilitumia kulima heka 35 liwapate chakula cha watu ambayo hawajiwezi ..
• Uwanja wa zaidi ya milioni mia nne umesha patikana huko Burka ambako ndiyo hospitali aliyo ahidi itajengwa ikiwa ni moja ya ahadi zake kuu mbili yaani Hospital na Machinga Complex
Pia alizungumziajuhudi zake za kuzuia General Tyre isiunzwe ambayo kwasasa inategemewa kuanza kufanya kazi tena Mei, katika kamati iliyoundwa ya kufatilia shirika hilo mhimu kabisa kwa maendelea ya nchi hii Lema alisema walikuta ufisadi wa kutisha akatoa mfano kuwa kuna gari liliuzwa kwa US$ 100 na mkurugenzi alitumia million 200 kwenda kupumzika na familia yake kwenye mbuga za wanyama……

===
Ratiba
Tarehe 12.1.2012 Themi
Tarehe 13.1.2012 Olorien
Tarehe 14.1.2012. Olasit
Tarehe 15.1.2012. Terati
========
View attachment 45211
Baada ya jana kufunika kwenye kata ya daraja mbili operesheni zika CCM, Jenga CHADEMA leo ni zamu ya kata ya Olorien ambako ndiko anakotoka Meya wa kichina.....
 
Crashwise!!

Tupo pamoja A to Z!

Na kama alivyosema Pj.

Ni vema ingeendelea mpk kieleweke!
 
Crashwise, hayo magwanda yanauzwa duka gani hapa mjini?...Watu wengi wanayaulizia, maana wamechoka kufichaficha hisia zao za kiitikadi na kimtizamo!
Sema kama yanapatikana pale NAMVUA complex!..itakuwa pia nichanzo kizuri cha mapato ya matawi ya chama!
 
This is a woundeful operation and should be encouraged. I would like to invite CHADEMA to continue with this operation in every region of Tz including their respective provinces(Jimbo Mkuu). CCM will be burried soon even before 2015. I wish better conflict to CCM for better success of CDM. All the best CHADEMA.
 
Be peaceful, be courteous, obey the law, respect everyone; but if someone puts his hand on you, send him to the cemetery.

Pamoja sana kamanda!
 
Be peaceful, be courteous, obey the law, respect everyone; but if someone puts his hand on you, send him to the cemetery.
!
Mkuu,
You mean Just putting a hand on you, could make someone be sent to cemetery?...what type of hand are you talking about?
 
Crashwise, hayo magwanda yanauzwa duka gani hapa mjini?...Watu wengi wanayaulizia, maana wamechoka kufichaficha hisia zao za kiitikadi na kimtizamo!
Sema kama yanapatikana pale NAMVUA complex!..itakuwa pia nichanzo kizuri cha mapato ya matawi ya chama!
Mkuu mbona zipo sana tu wasiliana na Nanyaro Ephata zinapatika kwenye ofisi ya Chadema wilaya (Ngarenaro).
 
Hii nimeikubali sana

CCM iwahi kuzikwa nchi nzima ili isiozee juu ikapollute mazingira yetu ya kustawi
 
Kamanda tupo pamoja tena nitakuja kukupitishia picha zingine ambazo nilipiga picha nikashindwa ku up load.
 
Nimeamua kuanzisha thread inayohusu kampeni ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilaya ya Arusha mjini inayo julikana kama "Oparesheni zika CCM jenga Chadema" ambayo mpaka sasa wameshafanya mikutano kwenye kata tatu kati ya kumi na tisa na siku ya leo watakuwa kata ya Daraja mbili. Pamoja na kukusanya kero mbalimbali zilizoko kwa wananchi pia Oparesheni hii nikujenga chama...Mikutano hii imekuwa na mahudhurio makubwa sana hii inaonyesha wananchi wa Arusha wanaimani kubwa sana na CHADEMA.

Tuendelee kujuzana kitakachokuwa kinatokea kwenye mzunguko wa kata zote 19.

View attachment 45110View attachment 45111View attachment 45112
Picha wakazi wa kata ya Kimandolu wakifatilia mkutano chadema
View attachment 45102View attachment 45103View attachment 45104View attachment 45105
Picha za mkutano wa kata ya Kaloleni wakisikiliza kwa umakini kabisa kamanda Godbless Lema.

kazi nzuri
 
Hii kampeni ni ya hapa JF tu..tukienda kwenye uchaguzi CCM inawagaragaza. 2015 CCM inalirudisha jimbo lake!!
 
Back
Top Bottom