ARUSHA.......... Ntarudi tena wallah!!!!!

Mzima kabisaa! Halafu nimekumiss ujue! Arusha na mie ntaenda bana! Halafu sijui nikunong'oneze

Hata nami nimekumis bana. Ukianza safar ya Ars, nibeep nikusindikize ...:) subiri Babu ODM alale, ndipo uninong'oneze :)

Babu karibu na mwetu bana
Hivi ni wapi huko? Hakuna masharti na vigezo vya kuzingatia?

Wivu unaniwasha aisee.
Nenda Arusha ukakunwe.........

Ehhh Babu kweli siku hizi una roho mbaya yaani umefika Arusha ukashindwa kuja kuniona Karatu??? siamini
Niliishiwa mafuta....... si kosa langu, Ngeleja huyo. Siku nyingine nikija ntakudipu......

Dah... mzee wa memkwa nimebaki man alone.... itabidi nikodi jeshi niende huko wikendi moja kabla ya mwisho wa dunia
Imebaki historia......

Yaani hao warembo wote kumbe wanapatikana Arusha!? Dah! Itabidi nifunge safari rasmi ya kwenda Arusha, nianzie Moshi kwanza kwa Nyamayao laazizi, namchukua twaenda wote Arusha.

Safari hii itakuwa imedhaminiwa na TBL, Konyagi, SBL, Heineken na Chibuku.
Usithubutu kukutwa.......

Ila tu wanaarusha kuna member mmoja alikuja huko ametoa mapicha ya khatari sana kwenye jukwaa la wakubwa, i hope hayahusiani kabisa na Arusha MMU

Au siyo?
Hahahahahaha khaaa!

HTML:

Yaani, siku zote najua wewe ni mwenyeji.
Mwenyeji wa likizi ya miezi mitatu........ kwa hisani ya blaki womani

God Bless
Amen

Ukabaila huu sasa ODM!
Hapana, mi ni mjamaa kama Nyerere..... Sharing is Caring hommie........

Ulipata vitu adimu vinavyo kosekana usalule?
Mpwa naona umeamua kuulizia meno mdomoni......

ODM karibu tena...
Niambie kwa kingledha, vinginevyo sikuji......

Masharti na kanuni za JF ni yeye mwenyewe kwenda huko Arusha ili akapate ufafanuzi.
Viza zinapatikana kwa ODM pekee......... vigezo na masharti kuzingatiwa........

Karibu tena babu ingawa hukunitafuta..
Nikipata nauli, ntakuwa mgeni wako........ martenity leave ishaisha? Siku nyingine utumie kondom, sawa?

Ile ban nlojipiga,
Nkaenda zangu Arusha,
Nkakutana na Preta,
Sweetlady Wiselady,
Lily Flower na nani?
Blaki Womani mweupe

Arusha ntarudi tena walah........

Nikanywa na PakaJimmy
Liverpool na Filipo,
Mzee Wa Rula Pembeni
Voice of Reason ikaja

Na mwingine nani tena? Hivi nimesema binamu?

MTK bar na Mianzini
RIP Makaburini,
Shivaz na Picnickini
Kijenge Kaizarini
Kwa Mromboo hatarini.....

Na kwingine wapi tena? Sijasema tripo Ei?

Nikilila tena ban. nikapata na nauli,
Kamwe siendi nyumbani, na kitandani silali.

Arusha nitarudi, nrarudi tena wallah.

Ahsanteni kwa kunisikiliza.
Mungu ibariki Arusha.
Wabariki na watu wake.
Amina.

ODM anarudi kitandani kuzimua

Maswala ya ukaguzi vp yalifanyika kwa usalama lakini?

We kaa huko huko! Tangu umeondoka Ar, na Blaki amepotea kabisa. Kwahiyo ukitia timu tu mjini, unaishia "kisongo" maana una kesi ya kujibu!

Nikikamata raba mtoni ya klorokwini..... ODM atakuwa mgeni wa Preta....... Nikikosa rabamtoni ntaazima makubazi ya Bigirita then Blakiwoman atakuwa mwenyeji wangu. Kama vipi niazime zile mokasini zako nikabembee na Liliflawa au Switiledi........
Mkuu, hivi huyu jamaa yupo wapi siku hizi???
nimem-miss sana bana!!!!
mwambieni aniPM basi!

We kaa huko huko! Tangu umeondoka Ar, na Blaki amepotea kabisa. Kwahiyo ukitia timu tu mjini, unaishia "kisongo" maana una kesi ya kujibu!
Hahahahah we ni noumaaa....... we wakati uko bize na Lema, sie tulikuwa twajichana kwa mromboo....

Mkuu, hivi huyu jamaa yupo wapi siku hizi???
nimem-miss sana bana!!!!
mwambieni aniPM basi!
Ngoja nicheki na mazandu ndo alikuwa na contacts zake. Afu ntakupigia.....

Hahahahah we ni noumaaa....... we wakati uko bize na Lema, sie tulikuwa twajichana kwa mromboo....

Ngoja nicheki na mazandu ndo alikuwa na contacts zake. Afu ntakupigia.....

tehe tehe the Arusha nitarudi tena!

We kaa huko huko! Tangu umeondoka Ar, na Blaki amepotea kabisa. Kwahiyo ukitia timu tu mjini, unaishia "kisongo" maana una kesi ya kujibu!
Una ushahidi wa kutosha usije kuwa kama Pinda tehe tehe tehe. Black Woman yupo bana ni wewe tu, mpigie kwa 0147585258 utampata.

babilon na bougaloo mlimpeka? babilon achaaaaaa bana, ni balaa...weather tu ya arusha inanishinda ila???? na mie nitarudi tena

Umri wangu hauruhusu kotoa kirefu cha MTK Bar,
Ila jina rasmi ni Arusha night park bar.
MTK bar inatoa taswira ya maumbo ya wasichana wanaofanya kazi pale.

Back
Top Bottom