Arusha-namanga highway

Askofu

JF-Expert Member
Feb 14, 2009
1,664
86
Sony Pics 019.jpg
Sony Pics 018.jpg

Arusha - Namanga Highway...

Tutafika kweli?? Au mpaka watu wafe kwenye ajali ndio tuunde tume?
 
Utajengaje barabara inayounganisha nchi jirani na yenye umuhimu mkubwa bila mfrereji uliojengewa na ukijua mvua zinanyesha zitabomoa? Rushwa tu hapo
 
sijui mamii ngoja tuone.....

kipindi cha kiangazi hapo hilo vumbi lake jameni aaaah

Danganya toto, itafika 0ctober barabara vumbi tupu!! Wanasubiri doner funds
 
donor fund Askofu mpaka lini? hazijatoshea tu au ndo wanapewa zinaliwa na wajanja kama kawaida!!!
 
Danganya toto, itafika 0ctober barabara vumbi tupu!! Wanasubiri doner funds

Funds zilishatolewa, Kenya kwao wameitumia vizuri hadi utafurahi. Hapa kwetu ndo hivyo tena, Waziri wa miundombinu ndo huyo ....hata humsikii akiongea. Mpaka Pinda akaingilia kati kuwakemea TANROADS Arusha ndo wakafanya fanya hata hiyo extension..... Huyo Kawambwa sijamsikia akisema lolote kuhusu hii bara bara. Wajenzi wenyewe wanaazima vifaa kwa kampuni inayojenga Kenya! Na bado tunadhani Arusha ndo makao makuu ya EAC ...ukienda Arusha utashangaa...hamna barabara! Sijui kama Muungwana anajua hivi vitu?
 
Fundz zilitolewa ndio, lkn zimekuwa diverted kwenye mfuko wa CCM kwa ajili ya kampaign, sasa hata kama huyo JK anajua hawezi fanya ki2 wakati yy ndo kawaambia wakusanye pesa za kampeni. Kama walipewa kutoka UK bac wanasubiri siku zipite pite waombe US au China
 
Back
Top Bottom