Arusha na silaha

Tabora ndo kiboko, hadi mwakilishi wetu anaiweka kinoma noma kabisa. Au hamkuona mfano?

shida ya arusha zipo nyingi mno karibu kila mtu mwenye kauwezo kidogo anayo.
 
Wewe pumbavu kwanini unaongelea wengine? heti huku dar watu hawatembei na silaha, wewe unafikiri zinatundikwa kwenye suruali kama simu, uliza uambiwe huku ndo balaa, wabunge wote wanabeba, makatibu wakuu ndo usisema mawaziri mpaka watoto wao.
Mi nilikuwa baa na washikaji wakati natoa bill si ikaonekana yakwangu, nikaificha faster washikaji wakacheka ni ka wauliza kunani, bwana wewe kumbe kila mmoja kabeba lakwake, kulikuwa na mademu wawili watoto wa vigogo fulani nao wanavyao vidogo vidogo, nikajiona wajuuuzi.
 
Naona kama polisi wakirudia tena kale kamchezo kao basi tutasikia makubwa na baadae tutaona kwa macho.
 
Wewe pumbavu kwanini unaongelea wengine? heti huku dar watu hawatembei na silaha, wewe unafikiri zinatundikwa kwenye suruali kama simu, uliza uambiwe huku ndo balaa, wabunge wote wanabeba, makatibu wakuu ndo usisema mawaziri mpaka watoto wao.
Mi nilikuwa baa na washikaji wakati natoa bill si ikaonekana yakwangu, nikaificha faster washikaji wakacheka ni ka wauliza kunani, bwana wewe kumbe kila mmoja kabeba lakwake, kulikuwa na mademu wawili watoto wa vigogo fulani nao wanavyao vidogo vidogo, nikajiona wajuuuzi.

shika adabu yako nani unamwita pumbavu . mbona huna adabu ? huwezi kuchangia bila matusi ? au unataka ban ?
 
Jamani huku Arusha karibu kila kijana mwenye maisha mazuri kiasi anamiliki bastola . Sijui kama kuna mkoa watu wanamiliki silaha kama huu . Ni kwanini inakuwa hivi ? Nipe sababu zako.

Majambazi wengi huko kwa Wachaga
 
Inamaana AK 47 kuimiliki huko ni kawaida?ss likitokea twimbwili na askari si wanaweza kimbia?
 
dah huko nyie ni bastora,c huku tarime ni kuanzia AK47 kwenda mbele,madent ndo wenye bastora
 
Niushamba tu wa tabia za kizamani kuonyeshana ubabe. Unamkuta mtu ba mezani kapanga bastola, simu, pakti ya fegi..... Hawa ni washamba wacio jua kutofautisha starehe na fujo ama ugomvi.
 
Inamaana AK 47 kuimiliki huko ni kawaida?ss likitokea twimbwili na askari si wanaweza kimbia?
Mkuu AKs zipo nyingi sana Ruvuma. Sijui siku hizi.
Walikuwa wanazifusha toka Mozambique, nasikia kule walikuwa wanazinunua sokoni.
 
Vijana wa Arusha wengi wameathiriwa na desturi za Wamassai na tabia mbovu za wana -Apolo wa Mererani.
 
sababu ni kuwa vijana wengi wa arusha hupata mali kwa magumashi na ujambazi, wizi na dhuluma. Yani hawana formal and straight income. Na hata hizo bastola nyingi zitakuwa za deal tu hawanunui kihalali. Arusha ni mji mdogo sana ila kelele na sifa ndo nyingi. Mbona mwanza ni mji mkubwa sana na vijana hawana hizo silaha?
 
Wewe pumbavu kwanini unaongelea wengine? heti huku dar watu hawatembei na silaha, wewe unafikiri zinatundikwa kwenye suruali kama simu, uliza uambiwe huku ndo balaa, wabunge wote wanabeba, makatibu wakuu ndo usisema mawaziri mpaka watoto wao.
Mi nilikuwa baa na washikaji wakati natoa bill si ikaonekana yakwangu, nikaificha faster washikaji wakacheka ni ka wauliza kunani, bwana wewe kumbe kila mmoja kabeba lakwake, kulikuwa na mademu wawili watoto wa vigogo fulani nao wanavyao vidogo vidogo, nikajiona wajuuuzi.

Watu kama hawa bana....ili mradi tu wote tujue na yeye anayo na anafahamiana na watoto wa vigogo...sisi hatutaki kujua yote hayo..hoja ni kwamba kwanini arusha umiliki wa silaha umekubuhu
 
mwambie huyo mlugaluga.
 
Back
Top Bottom