arusha mpo?

Afu binadamu wewe!
Tangu safari yako ya Zenji , sijakutia mbonini ?
Hadi nikahisi labda umepotea na Mv. Skagit, tender as soon as will reach the end of fastin moon, mabandiko nitaya'announce .

duh!! Mv skagit imenikosa, mbona nipo jaman. Nasubiri hilo bandiko basi ili niandae safari ya Mwz
 
duh!! Mv skagit imenikosa, mbona nipo jaman. Nasubiri hilo bandiko basi ili niandae safari ya Mwz

Afu YNNAH nimekumbuka huko Ar fanya overtask umtafute B52 , then muulize kanunishwa na nani Jamvini ?
Manaake ujaji wake this wik yuaja kwa style ya Mwewe apitiavyo watoto wa Kuku !
 
Afu YNNAH nimekumbuka huko Ar fanya overtask umtafute B52 , then muulize kanunishwa na nani Jamvini ?
Manaake ujaji wake this wik yuaja kwa style ya Mwewe apitiavyo watoto wa Kuku !

nitalifanyia kazi hilo swala
 
Hello YNNAH! Mambo vp?

Kwa muda huu uko cha wapi?
Karibu sana A town karibu sana na ujisikie umefika home kwako.
 
Niko mitaa ya kwa mrombo kibanda maarufu kwa uuzaji nyama
Karibu aise uje upate mbusi. Mbusi sa hapa ni ta-tamu kweli msee wangu
 
Back
Top Bottom