Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,654
Shule inayofahamika sana mjini arusha kama arusha morden school. iliyoko eneo la kisongo imeuzwa sh bilion 4 katika kanisa katoliki mkoani humo.akizungumza katika ibada ya misa takatifu katika kanisa la roho mt lililoko eneo la ngerenaro padre Ruwaich amesema !Tutanunua shule ya arusha morden kwa gharama ya sh bilion 4 eneo ambalo lina ukubwa wa ekari 25 na mpaka hiv sasa ekari 9 zimeshajengwa!