Arusha: Mkutano wa CUF na Picha za matukio mbalimbali - Sept 30, 2012

Mbinu zao hazijatofautiana sana na A wao wanatumia Costa kubebelea.Keep the air ringX2:rockon:
 
Karibu hapa Levolosi mkuu.

Ili asipotee Levolosi ni kubwa sana, ajisogeze karibu kabisa na kliniki jirani kabisa na stendi ya vifodi vya nduruma.
Pamoja na kubeba watu toka kona mbalimbali za nchi lakini bado tu mkutano wameenda kuusokomeza kwenye kauwanja kadogo karibu na soko na stendi ya vifodi.
 
Yan hiyo live unaandika sasahivi lakini hata picha hatuoni!

​Kuna hii picha ya sasa hivi, wametokea mnara wa mwenge wanaelekea kilombero

Image0061.jpg
 
Ili asipotee Levolosi ni kubwa sana, ajisogeze karibu kabisa na kliniki jirani kabisa na stendi ya vifodi vya nduruma.
Pamoja na kubeba watu toka kona mbalimbali za nchi lakini bado tu mkutano wameenda kuusokomeza kwenye kauwanja kadogo karibu na soko na stendi ya vifodi.

Lengo walau ni ili abiria waongeze idadi.
 
Mkandarasi kwanini hujapunguza siti moja nawe ukamlaki le profesa wa uchumi sultan Lipumba!?
Btw, vipi uwanja wa levolosi ukoje hadi sasa?

Ney wa mitego alighani eti LIPUMBA KILA UCHAGUZI ANAGOMBEA YEYE KWANI WENGINE HAKUNA? nmba mstarii huu upewe majibu kwenye mkutano wa leo
 
Lengo walau ni ili abiria waongeze idadi.

CUF ni watu wa ajabu sana, ULE UWANJA NDO JUZI LEMA ALIFANYA MKUTANO NA KUUJAZA SASA NA WAO WANATAKA WAFANYIE HAPO ILI UJAE MAKE WANAJUA WANGEENDA MBAUDA AU TIINDIGANI INGEKULA KWAO, so kulikuwa na haja gani ya kuleta watu kutoka Dar ilihali wanaenda kufanyia mkutano kwenye Kauwanja ka MITA 50 KWA 100?

Naanza kuamini Arusha ni Ngome ya CHADEMA, na hawa wanao andamana watakuwa wametokea Dar

Hawa watu walio kuwa wanaandamana walikuwa wakipiga ngoma nakuimba sijui ndo inaitwa KASWIDA au ndo nini. Inaelekea wametoka msikitini
 
Hawa watu walio kuwa wanaandamana walikuwa wakipiga ngoma nakuimba sijui ndo inaitwa KASWIDA au ndo nini. Inaelekea wametoka msikitini

Kwi...kwi....kwiiiiii......Tehe.....Tehe....Teheeeee.....Keleuuuuuuuuuuiiiiiii...
 
Lengo walau ni ili abiria waongeze idadi.

Huo ndio mpango mzima. Kiongozi wa SUK Zanzibar pamoja na kiongozi mkuu wa chama kitaifa wanakwenda kufichwa katikati ya sokoni na stendi!
Hii wame copy na kupaste kutoka kwa mwandani wao ccm walivyofanya Iringa kuukimbia uwanja wa mwembetogwa.
 
Leo nitawaletea kitakacho kuwa kinaendelea kwenye uwanja wa Levolosi kwenye mkutano wa CUF. kwasasa CUF walikuwa wanazunguka hapa mjini Arusha wakiwa na coasta zaidi ya 20 na pikipiki....

kwa taarifa toka Arusha ni kwamba raia nao wanawaangalia kwa makini sana nyendo zao.Wanawatazama kama kundi la watu waliokuja kukamilisha kazi waliyoshindwa polisi +CCM+ Tendwa Moro na Iringa.Tayari watu wanaangalia kwa makini vurugu CUF watakazo anza Act(wakivaa gwanda wengine) kama walivyopandisha mchungaji feki Jangwani.

Wanakwenda Arusha endeleza kile akina Lipumba walikuja panga walipokuja kwa gia ya kuhamasisha ushiriki wa sensa misikitini.

Kama si CDM kuwaambia watu wakae nao kimya kuna taarifa watu wamewachoka.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom