Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

Hapo watu wakisema CDM ni chama cha fujo mtakataa ? hadhi mnajishushia wenyewe msitafute mchawi

una maana ni halali watu kuitwa panya, pambaneni na wezi na waporaji wa madini, acheni kupambana na watembea kwa miguu kwasingizia wanaandamana.
 
Hivi hizo pikipiki ni mali ya Chadema? hawa jamaa watakaogoma nadhani watakuwa ni wahuni tu na huo mgomo sijui kama utakuwa na madhara yoyote kwa serikali

hujielewi wewe....endelea kuwaita wanaume wenzako wahuni...akili zako ni nusu kijiko
 
kwanini wanachadema tusitafute njia nzuri ya kupata suluhisho la hili jambo? tunataka kupoteza tena wenzetu? Tusipende kumwaga damu kwa jambo lisilokuwa na Msingi. kama Mh Lema kaamua kwenda gerezani, tumwache apumzike huko, sisi huku tuendelee kukijenga chama!

Tuwekee njia mbadala hapa ya kupata haki na utu wetu
 
Nimetafakari sana na nikatambua kuwa sababu ni mimi pale nilipokuwa kimya wakati wajane na wanyonge wanaonewa. NIliposikia wengine wanaandamana kupinga uovu, uonevu, wizi, ufisadi na ukandamizaji wa haki nikasema ni hao na wala sio mimi, kumbe nilipaswa kuwa mbele katika harakati hizi.

Nilipoona wenzangu hawawezi kupata matibabu nikasema mimi sio mgonjwa, nilipopata taarifa za rafiki zangu kufungwa kwa makosa yasiyo yao, nilipoona watoto wa mitaani wanaomba chakula, nilipoona wazee wamepoteza matumaini ya kuishi katika uzee wao, nilipoona vijana hawana ajira, nilipoona mabinti wasichana wadogo wameamua kufanya biashara ya ukahaba, NIKATAFAKARI,TENA NIKATAFAKARI, dhahabu zetu, almasi yetu, Milima na mabonde yetu, Tanzaninte yetu, samaki wetu, Uranium yetu, makaa ya mawe yetu, utalii wetu, ardhi na kilimo chetu na zaidi utu na mahusiano yetu.
 
Liverpoolfc hayo matusi si ndiyo ya Col Gadafi wa Libya mwisho wake si wameuona, sasa sijui hii Tanzania itaishia wapi kama haitakuwa na vingozi wenye busara?

Mkuu! Nakwambia ya kwamba hawa wanyang'ang'anyi wanajifanya hawajui lakini siku ya siku warudia kula matapishi yao na tuombe uzima na tuone yajirio muda c muda hapa kwetu na ndipo huu usemi utakamilika "WAO WANA PESA SISI TUNA MUNGU"
 
Sinto shangaa watu hawa kugoma, kwani siku zote watu wa arusha wamekuwa wanashikwa masikio na fikra zao ni changa
Sishangazwi na wewe maana katika msafara wa ukombozi wasaliti hawakosekani,itafika wakati utajua fikra zetu wana Arusha zimekomaa,ni wakati tutakapoikomboa Tanzania
 
Huyu jamaa ukisikiliza utafikiri kichaa lakini baadae utagundua maneno anayosema anayatoa moyoni kabisa, kuna hatari naiona mbele, serikali ikijifanya kudharau itakuja juta na haitapata muda wa kujirekebisha yetu macho.
 
Last edited by a moderator:
Best nakwambia hawa magamba bila ya kuwashurutisha hakika watatuita hata mende na itakuwa kama ya marehemu Gaddafi!

Gaddafi alipochinjwa serikali ya ccm ilimlilia. Akili ya Jk na Gaddafi ni sawa, kwahiyo serikali yake kuwaita watu Panya au Mende ni sawa tu!
 
Jameni tujifunze kusema basi maana hawa ccm wametushikisha ukuta kwa muda mrefu sana jamani inatosha, mgambile ccm enough
 
Mkuu hata nyumba itaka kuungua huwa hailipuki yote kwa pamoja.....ni swala la muda tu iko siku ambayo haina jina watu hawata amini....

Nimeipenda hii tena nzuri kipindi ambacho likwere halipo ili wenzake waanze kumuuliza hukohuko alipo kudadadeki na wazungu walivyo na ghadhabu na hawa madikteta
 
Naitamani sana siku ile ya Ukombozi ambaye imewadia,imefika mwisho kwa mtu mtumishi anayelipwa kwa kodi yangu kuniita mimi panya.
Naamka asubuhi ili kuhakikisha na yeye na familia yake mkate unakuwa mezani,leo kaota mapembe kwa kujifunza kutumia silaha,na kufunikwa na ulimbukeni wa kusifiwa na kupanga mipango ya kunimaliza.
Imefika mwisho,na penye cheche moto huwaka kwa kasi,na hautazimika kirahisi,mlitupiga mabomu uwanjani,mlituulia vijana wetu,mmemdhalilisha mwakilishi wetu tuliyemchagua kwa mapenzi yetu kwa kutumia dhamana tuliyowapa kutuchapia.
Uhuru unakuja leo si kesho
 
Nimetafakari sana na nikatambua kuwa sababu ni mimi pale nilipokuwa kimya wakati wajane na wanyonge wanaonewa. NIliposikia wengine wanaandamana kupinga uovu, uonevu, wizi, ufisadi na ukandamizaji wa haki nikasema ni hao na wala sio mimi, kumbe nilipaswa kuwa mbele katika harakati hizi.

Nilipoona wenzangu hawawezi kupata matibabu nikasema mimi sio mgonjwa, nilipopata taarifa za rafiki zangu kufungwa kwa makosa yasiyo yao, nilipoona watoto wa mitaani wanaomba chakula, nilipoona wazee wamepoteza matumaini ya kuishi katika uzee wao, nilipoona vijana hawana ajira, nilipoona mabinti wasichana wadogo wameamua kufanya biashara ya ukahaba, NIKATAFAKARI,TENA NIKATAFAKARI, dhahabu zetu, almasi yetu, Milima na mabonde yetu, Tanzaninte yetu, samaki wetu, Uranium yetu, makaa ya mawe yetu, utalii wetu, ardhi na kilimo chetu na zaidi utu na mahusiano yetu.
Haya ni maneno tu. Lema anajitafutie cheap popularity kwa hili. Tayari tumeshaona uwezo wake wa kufanya kazi. Chadema bado ni changa, tuache ushabiki.. kwa sasa watu tunashabikia anachokifanya Lema, but kina bad impact kwa chama.
 
Tuwekee njia mbadala hapa ya kupata haki na utu wetu
Sheria zipo. CDM ni chama chenye wanasheria wazuri. Chadema ni chama chenye wasomi wengi.
Sidhani kama hata robo ya wanachama wasomi wa chadema wanasapoti huu upupu anaoufanya Lema
 
Back
Top Bottom